Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe.
1. Mnamo mwishoni...
Aiseeee... sikujua kama huyu manzi ni wa kienyeji, hio shanga aliovaa hapo chini si kama hizi hizi za kina mwajuma na maimuna wa mbagala rangi tatu.
Mwamba curry itakua anaenjoy sana ile michezo ya kikubwa ndo maana wamedumu kwenye hili penzi.
Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani.
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji.
Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/-
Kuku Hawa Ni...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
#1. adriz
Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua.
#2. GENTAMIYCINE
Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia.
Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
Kuna Baa Tatu maarufu zilizoko sehemu tofauti tofauti Wilayani Kinondoni Wamejazana kiasi kwamba Tanzania ingekuwa na Waasi au Magaidi na Bomu Kutupwa waliko hivi sasa Jeshi na Tanzania lingekuwa linaomboleza Vifo vya Wanajeshi wake wapatao Tisini ( 90 ) waliokuwa Wakilewa ( Wakigambeka ) katika...
SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA
"Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za Pombe za kienyeji zilizokidhi viwango na maombi mengine mapya 22 yapo kwenye hatua mbalimbali za...
"Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
Habarini ndugu wanaJF,
Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake.
Binafsi nilikataa kulamba vitu...
Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake.
GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku.
Wana visirani na viburi sijawahi ona.
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake...
Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu.
Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa maliasili – TAWA Pori la Akiba Rungwa, linamshikilia Msabila Raulent Leonsia [48] Mkazi wa Kambi Katoto Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa tuhuma ya kupatikana na silaha – gobore mbili ambazo zimetengenezwa kienyeji.
Mtuhumiwa alikamatwa...
Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo.
Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"
Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo
Haya Wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.