Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k.
Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa...
Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha.
Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima...
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako
1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na...
JUMLA ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba mwaka huu.
Taarifa ya Jeshi la Polisi wilayani humo dawati la jinsia, imeeleza kuwa shule za msingi ni wanafunzi watatu wakati wa...
Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$
Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK
MURATINA
A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced...
Leo ukiwa unaimba kwaya unarukaruka unawatukana waganga wa kienyeji na kusahau kuwa huenda sasa ungekuwa unaitwa marehemu. Ila waganga wa kienyeji ndio waliokutoa kwenye mikono ya adui zako kipindi ukiwa mtoto au kijana.
Nakumbuka nikiwa darasa la tatu siku moja nikiwa shule nilipata stroke ya...
Simba SC
Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na...
Kushusha Sukari Kienyeji
Pole kwa wote wanaosumbuliwa na sukari iliyozidi kwenye damu (kisukari).
Nimepata kusikia kwa watu fulani wakisimulia walivyofanikiwa kushusha sukari kwa haraka na kwa mafanikio. Kabla ya kueleza zaidi, tafadhali zingatia yafuatayo:
1. Mimi siyo daktari wa tiba za...
Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani .
Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba. Kitu...
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Habari ndugu zangu.. Kama kuna mtu anauza mayai ya kuku wa kisasa na yupo Dar naomba tuwasiliane. Nahitaji tray zaidi ya 300..
Nitafurahi sana kama nitapata fursa ya kukutana na huyo mtu
“Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM
“Watu wanapotengeza dawa za...
Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora
Kwanza kabisa napenda...
Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje.
Na gharama za usafirishaji zikoje ?
Habari wana jamvi,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Je, hurithishwa kutoka kwa babu/bibi kwenda kwa mjukuu au baba/mama kwenda kwa mtoto?
Je, mganga wa kike anaweza kumrithisha wa kiume au vice versa?
Mwenye uelewa wowote tufahamishane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.