JF SUMMARY
Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini.
Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani.
MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
Habari za kazi waungwana.
Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo.
Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai?
Shukrani za awali.
Wasalaam nyote,
Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏
Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema.
Mganga wa kienyeji awaye...
Wadau!
Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam.
Aliyenao naomba anicheck PM.
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha.
Miongoni mwa maswali yangu ni je...
Ukweli utabaki hivyo,tuna tatizo kubwa kwenye vipaumbele vya taifa,hatujui nini tunataka na wakati gani tunahitaji hicho tunachokitaka.
Madhara yake ni nchi kuendesha kama biashara ya daladala, kondakta ana nguvu kuliko dereva kwa kuwa tu ndiye mshika fedha.
Kipau mbele cha serikali hakikidhi...
Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari.
Source:TV Kienyeji.
Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake.
Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI
Anaandika, Robert Heriel
Loveboy
Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18!
Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu.
Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..
Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!
Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!
Yaani...
Rejea mada hapo juu, Nina bata wa kienyeji kwa ajili ya mboga na kufuga kama unaitaji nidm bei ya kitanzania kabisa
Dume
Uzito kg 4 - 5
Ana mwaka mmoja na miezi 6
Bei 30,000
Majike
Wanaotaga wako 2
Bei 15,000@1
Mwenye watoto yuko 1
Bei 20,000
Pia kuna makinda wako 5
Bei 10,000@1
Pia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.