Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
Utangulizi
Hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila na elimu bora ambayo ndiyo chimbuko la teknolojia mbalimbali zitumikazo viwandani. Teknolojia bora ndiyo msingi wa kuifanya nchi ipige hatua kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla. Kadri unavyokua na viwanda vingi ndivyo unavyoweza kutatua...
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
UTANGULIZI
Mnamo mwezi agosti mwaka 2023 mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari kuhusu mvua za El nino zitakazo anza kipindi cha vuli kuanzia wiki ya pili ya mwezi october mpaka wiki za mwanzo ya mwezi January 2024 na miezi mingine ya mwaka huo. Mamlaka hiyo ilitoa tahadhari...
source: www.urban municipal council
Utangulizi:
Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati tunapofurahia sahani tamu au chakula cha kufurahisha, hatari za usalama wa chakula zinaweza kusahaulika au...
Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo.
Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
Habari wakuu, nina marafiki wengi walio hitimu chuo mwaka jana lakini mpaka sasa wanahangaika sana na suala la ajira. Nimekuja kugundua kwamba elimu ya Tanznaia haizingatii mahitaji ya soko la ajira kwa sasa na bado tunatumia elimu ya wakolonia aisee. mimi ningeshauri hatua zifuatazo zifanyike...
Tangu January Hadi katikati ya mwezi huu( April) tumekuwa tukisikia na kushuhudia mvua kubwa zikinyesha Kwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania.
Kwa mtazamo wangu haya ni matokeo ya ubinafsi wetu juu ya mazingira yanayotuzunguka.
Wiki Moja iliyopita niliongea na mdau mmoja ambaye Yuko mkoani Mbeya...
Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote:
1. Maji kupungua bwana la mtera
2. Kukosekana kwa mvua
3. Hitilafu ya mitambo
4. Mitambo kufanyiwa...
Hellow,
Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua.
Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua.
Nini kifanyike?
Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na:
Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu.
Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe.
Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa.
Kwa maelezo ya wanawake wengi...
Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki.
Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama.
Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho.
Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo?
Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji.
Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
Wakuu mambo vipi ?
Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani ,
Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi?
Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.