Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.
Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.
Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
Habari JamiiForums,
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini...
Ukweli usemwe
Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia wanayaacha yenye tija na kuendeleza yale mabaya yake.
Katika mambo ya kipuuzi aliyoyafanya...
Je, una maoni au ushauri utakaoboresha uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama?
Usikose kujiunga nasi katika mjadala wenye tija utakaolenga kutafuta suluhu ya kuimarisha uhusiano kati ya raia na Vyombo vya Usalama Julai 25, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
Baada ya hotuba ndefu nimenukuu haya machache kutoka kwa Prof Shivji juu ya nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba huu wa kinyonyaji wa DP- World. naandika kama anavyo sema:-
"Kwa ujumla kwa kuhitimisha, mkataba huu sisi wanasheria tunauita honoracy provisions na tukikubaliana hivyo je kuna...
UTANGULIZI
Kodi ni muhimu kwa kila mwananchi, kwa maana hutoweza kuiwajibisha serikali kama hulipi kodi. Pia ni muhimu kulipa kodi ili kupata huduma bora kama elimu, ulinzi, afya na miundombinu. Mbali na umuhimu wa kulipa kodi, Tanzania imekua ikikumbwa na malalamiko juu ya juu ya sheria tofauti...
Dunia kwa sasa inapitia mapindizu makubwa ya kidijitali, watoto limekuwa miongoni mwa kundi muhimu ambalo linastahili kulindwa na kuongozwa katika suala zima la matumizi ya kidijitali.
Zaidi ya wadau mbalimbali kusisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto katika wakati huu wa mapinduzi ya kidijitali...
digital inclusion
digital rights
digital rights 2023
dunia
haki za kidigitali
kidigitali
kifanyike
ujumuishaji wa kidigitali
ulemavu
watoto
watoto wenye ulemavu
wenye
Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo.
Mfano kwa sasa hapa University of Dar es...
SABABU ZINAZOPELEKEA VIFO VYA MAMA NA MTOTO NCHINI
1 ukosefu wa wataalamu wa afya wa kutosha . 2, ukosefu wa vifaa tiba .3 uzembe wa baadhi ya watumishi wakiwa eneo lao la kazi . 4 , upungufu wa vituo vya afya . 5 baadh ya watumishi kukosa wito katika kazi .6 jamii kukosa elimu kuhusu afya...
huyu ni mama mdogo wangu na nipo karibu sana na mtoto wake ambae huwa ananiambia vitu vingi.
Ni kwamba mtoto wa mama mdogo alipokuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 9 aliumwa malaria, hali yake ilikuwa mbaya sana ikabidi apigwe sindano za quinine (kwinini)
Hii dawa kama mtakumbuka hapo zamani kwa...
Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada.
Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia.
Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti na watanzania wengi wakionesha kushtushwa na kifo cha ghafla cha rais aliyekuwa madarakani...
Kuna kipindi tunafanya makosa kwa watu wengine, na wakati mwingine inatokea tunajifanyia makosa sisi wenyewe.
inapotokea umejifanyia makosa wewe mwenyewe, unafanyeje kurekeisha makosa hayo na kujisamehe kabisa
Kumekua na jitihada nyingi ingawa sio halisi za kupambana na ufisadi mpaka ukaundwa Mahakama ya mafisad! Binafsi naamin katika sheria kali ambazo zitapatikana kupitia katiba mpya.
Hatuwez kamwe kupambana na ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma kwa mfumo huu wa utawala na katiba...
Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu.
Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
*Wenye pesa wanachapiwa.
*Masikini wanachapiwa.
*Wenye nguvu za kiume wanachapiwa.
Sasa ili kuepuka kuchapiwa nini kifanyike? Ili kuepuka kuchapiwa wanaume oeni mabikra.
Lakini ukijikita kutafuta hela ukapuuzia kutafuta bikra itakula kwako na utaabika mitandaoni kama akina fulani wenye hela...
Nawashauri watu wa Kagera mpokee changamoto kutoka kwa mkuu wa mkoa wenu. Kwanza Chalamila hajawataja Wahaya, yeye anazungumzia watu wa Kagera. Sasa huko Kagera kuna Wanyambo, Wahaya, Wakerewe, etc. Kwanini nyie Wahaya mnafikiri kwamba watu wa Kagera ni nyie tu??
Si mnaona mnavyokosea eeh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.