Habari ya saa hizi waungwana!!
Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022.
Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism)
1. Kuwa barabarani ni pesa
2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki
3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa,
4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
ELIMU YETU!
Hivi sasa elimu ni chombo chenye msaada mkubwa sana tofauti kabisa na ilivyochukuliwa hapo mwanzo wakati wa babu zetu kwani kwa baadhi ya watoto na jinsi ya kike ilionekana kuwapatia elimu ni suala la ajabu wakati Sasa tunaenda na kaulimbiu ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii...
Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022.
Jijini...
Kwa namna upepo wa kisiasa unavyovuma hapa nchini inaonyesha wazi kwamba uwezekano wa wapinzani kuchukua nchi kwa miaka ya karibuni ni mdogo sana, ingawa sijasema haiwezekani ila dalili zinaonyesha kwamba hawana huo ubavu Kwa sababu zifuatazo:
1. Kubadilibadili hoja
2. Kuvurugana kama...
Salaam, waungwana!
Mtanisamehe, ni suala la kiimani. Kwakuwa silioni jukwaa la dini basi naamini niko sehemu salama katika jukwaa hili la habari na hoja mchanganyiko!
Naualiza wajuzi, hususani wa dini ya kiislamu, nini anapswa kukifanya mume na mkewe mara baada ya mimba kuharibika (kwa bahati...
Great thinkers,
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches)
Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala
Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja.
Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni...
Hello JF,
Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
Habari za kutwa miamba na majabali ya jukwaa mujarabu.
Rejeeni kichwa cha maada, nimetafakari nyakati nyingi na kwa marudio kwanini nchi hii ina ombwe kisiasa,kidemokrasia na kikatiba.
Kwanini uhuru katika nyanja hizo si kipaumbele kwa Taifa hili?
Mara nyingi maswali yangu hujikita...
Hali ya usalama mikoa mbalimbali sio nzuri! Wizi ni kama umerudi kwa kasi sana, sasa hivi usalama wetu na mali zetu uko mashakani sana!
Hata hapa JF kila siku lazima ukutane na nyuzi za watu kuibiwa hiyo ni ishara tosha kuwa hali ni tete.
Jeshi la Polisi liko wapi? IGP Sirro yuko wapi? Mbona...
Hello wanajamvi, great thinkers.
Wiki chache zilizopita kuna babu yangu upande wa mama alifariki
Katika mali alizoacha kuna nyumba na warithi ni watoto zake akiwemo mama yangu, mama wadogo zangu wawili na wajomba zangu wawili.
Sasa tatizo linapokuja ni kwamba hakuna anaetaka kurithi hio...
Zaidi ya miaka 15 iliyopita wakati nikiwa ningali mwanafunzi wa shule ya msingi, ndoto yangu kubwa ilikuwa kufikia elimu ya Chuo Kikuu. Wakati huo sikuwa na matamanio ya kuwa daktari bingwa, mwandishi nguli au mwanasheria aliyebobea kwa sababu niliamini nikifika Chuo Kikuu nitayafikia matamanio...
Sote tunakubali uwiano usio na usawa wa kiuchumi kwa maana ya wingi wa wasionacho na uchache wa walionacho unaopelekea baadhi ya mambo ama tabia zetu na hata mahusiano yetu kuathirika kwa namna moja ama nyingine. Leo ningepende kurununa (share) nanyi baadhi ya mawazo yangu juu ya nini kifanyike...
Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi...
Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika.
Demokrasia ya Tanzania
Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo.
Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
Habari wakuu!
Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii.
Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari.
Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.