Kwa wakazi Kigamboni kuna jambo kidogo linanipa shida barabara za Kigamboni mbona zina askari wa barabarani wengi toka feri mpaka kufika Kongowe unakutwa ushasimamishwa mara 4 daaah hii ni zaidi hata ya mikoani najiuliza huku kuna wavunja sheria wengi au.
Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.
Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza.
Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
Habari wanabodi,
Kigamboni sasa imekuwa kama mkoani trafic wenye torch wapo kila barabara, kitu kinachofanya wakazi wa Kigamboni kuhisi kama ni mateso, barabara hazina folen kulazimishwa kutembea speed 50. Mbona Nyerere ,Mandela,Ali Hassan Mwinyi, Barack Obama, Bibi Titi, Morogoro na Bagamoyo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo June Mosi baada ya Majengo yote ya Hospital hiyo kukamilika.
RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara ya kukagua...
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.
Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
Habari wakuu,
Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo?
Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya .
======
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda..
Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd.
Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam
Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
Waungwana habari zenu. Leo nimekaa nikawa napitia pitia makarabrasha mbalimbali ya mipango ya serikali nikakutana na hili la mji mpya wa Kigamboni. Katika pitia zangu nikaona jinsi ile master plan ilivyokuwa inavutia na kubarisha kabisa maisha na taswira ya jiji la Dar es Salaam.
Hapa naona...
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.
Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake.
Picha hapo chini ina...
Kimepimwa (surveyed)
400 meters kutoka baharini
3 kilometers kutoka Dege Eco Village
Barabara nzuri inapitika muda wote
Kumeendelea (kumejengeka)
Kiwanja square meters 574
Bei ni Tshs 9,000,000 (9 millions Tsh mazungumzo yapo)
Mawasiliano: +255714908121
Habari nilizopata hivi punde ni kwamba
Tukio hili linatokea sasa hivi sa tatu na nusu usiku.
Moto mkubwa unawaka katika visima vya Mafuta vya Lake Oil Kigamboni.
Kwa walioko karibu tafadhali tupeane updates kuhusu usalama na yanayoendelea kwa sasa
Wakazi wa Kigamboni,Kisiwani,Vijibweni na...
Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne(Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/-. Mruhumiwa na wanae wawili wsnashikiliwa kituo cha polisi Mbagala.
Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika duka la simu-pesa...
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni jana alikuwa kituko kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya Ukimwi duniani.
Kama wakuu wa Wilaya wapo hivi basi safari ni ndefu nitaeleza
1. Mavazi ya disco kwenye tukio la kidunia.
Bi Sara Msafiri alikuja viwanjani hapo huju akiwa amevaa kipedo cha kubana ndii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.