kigamboni

  1. Ibrah

    Plot4Sale Premier Plot For Sale at Mwongozo Kigamboni

    Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC. PLOT DETAILS Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached) Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF na NHC; Kiwanja kimezungukwa na barabara pande zote, kinafaa kwa matumizi ya biashara kama ujenzi...
  2. N

    Nahitaji chumba single kigamboni

    Habari za xmass wakuu ,nina uhitaji wa chumba kigamboni kiwe mji mwema kuelekea ferry ambacho ni single.Ntashikuru kama ntapata.
  3. Mwita Mtu Mrefu

    House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni

    Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full fence ulinzi uhakika hakuna uswahili Parking space ya kutosha range rover 3 zina fit Hati za umiliki...
  4. H

    House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja na eneo la parking. Nyuma haijaisha hivyo nategemea hela ya pango niweze kumalizia ujenzi...
  5. Snipper

    Shamba eka 4 Kimbiji Kigamboni linauzwa

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 7 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.
  6. M

    Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Magogoni

    Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents...
  7. Jemima Jackson

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  8. D

    Ukiachana na bei za Saruji, bei ya kupata Kibali cha ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu huko Halmashauri ya Kigamboni ni Tshs 250,000

    Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement! Shida kubwa ya halmashauri nyingi ni kugeuza sheria kuwa vyanzo vya mapato. Tutafakali gharama zifuatazo za kibali cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni. Bei hizi zinasimamiwa na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa...
  9. S

    Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

    Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
  10. D

    Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge wa Kigamboni kupitia ACT Wazalendo anapitia mazingira magumu mno kisiasa. Membe kawaangusha sana watu wake

    Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia angewainua vilivyo. Membe hata alipokuwa Pemba na Unguja pamoja na Maalim alishindwa kabisa kutumia jukwaa...
  11. kalipeni

    Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
  12. K

    Uchaguzi 2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

    Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua...
  14. D

    Mrejesho: Barabara ya lami iliyokuwa imefungwa Kigamboni leo imefunguliwa, tunashukuru Serikali kwa kusikia kilio cha wananchi

    Baada ya malalamiko na masikitiko ya wananchi kuhusu kipande cha barabara eneo la Mnadani - Kigamboni kilichokuwa kimefungwa kusubiri uzinduzi ilhali ujenzi wake kukamilika! Hatimaye rasmi leo barabara hiyo imefunguliwa Tunashukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kusikia kilio cha...
  15. D

    Barabara ya lami iliyokuwa inajengwa Kigamboni mnadani imekamilika lakini bado imefungwa kusubiri uzinduzi; Wakati wananchi wakiendelea kutaabika

    Eneo la kipande Cha barabara lililopo Kigamboni baada ya kuvuka daraja la mwl Nyerere linaonekana kukamilika lakini bado barabara hiyo imefungwa kusubiri uzinduzi wa kisiasa ilihali wanainchi wanaendelea kupata tabu! Barabara hiyo ndiyo inayounganisha viunga vya kigamboni na maeneo Mhimu...
  16. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu awataka CCM Wilaya ya Kigamboni kuacha nongwa, kuvunja makundi na kuwaunga mkono Wagombea walichaguliwa kwenye Kura za Maoni

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni. Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
  17. ubongokid

    Uchaguzi 2020 Taarifa kwa Umma kuhusu shambulio kwa Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi, Jimbo la Kigamboni

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SHAMBULIO KWA MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA TUNGI JIMBO LA KIGAMBONI Ndugu Wananchi; Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Tanzania (Tanzania Labour Party-TLP) Wilaya ya Kigamboni unalaani vikali shambulio lililofanywa dhidi ya Mgombea wa nafasi ya udiwani katika KATA ya TUNGI...
  18. Masokotz

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

    Habari za wakati huu, Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu: Viwanja vyenye ukubwa tofauti vipo MBUTU,GEZAULOLE,DEGE,CHEKA,MWONGOZO,KIMBIJI,PEMBA MNAZI etc Bei ni kama ifuatavyo: Mbutu,Kuanzia TZS Mili 3.5 ukubwa...
  19. chiembe

    Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye. Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
  20. GENTAMYCINE

    Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
Back
Top Bottom