kigamboni

  1. B

    Hongera Rais Samia kwa kuendeleza magorofa ya Morocco na Kigamboni

    Jana nimepita moroco na Kigamboni magorofa ya hifadhi ya jamii yaliyokuwa yametelekezwa yote yameanza kuendelezwa kwa Kigamboni nimeona wanafyeka majani maana kule hata nyoka walishaanza kufanya makazi kwa msitu wa majani uliokuwa umeanza kuota. Na kwa Morocco ilikuwa ni suala la aibu...
  2. Extrovert

    Naomba kujuzwa potential ilioko Kigamboni kibiashara

    Habari wadau, Nipo katika misele misele najaribu angalia maeneo mbali mbali yenye potential hapa mjini? Ila nimekuwa interested na kupaelewa Kigamboni kwa wakazi wa huko najua mpo humu mnaona kuna potential kibiashara? Je, biashara zipi ambazo zinaweza kufanikiwa kirahisi kwa eneo hilo? RRONDO
  3. mkadiriajimajenzi

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama. Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa...
  4. E

    Ghorofa ya kifahari inapangishwa Kigamboni Mjimwema Tsh. 800,000/=

    Nyumba ya kifahari ghorofa moja inapangishwa kigamboni mjimwema. 0756590833, 0623579290 Kitchen Shelf, Pre Paid Meter, Dining Area, Air Conditioning, Pop Ceiling, 24 Hours Electricity, Dishwasher, Wardrobe, Kitchen Cabinets, Tiled Floor, Hot Water ina vyumba vitatu vitatu na kimoja nje, yaani...
  5. Mshana Jr

    Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muunganiko! MATAGA pia natumai hamjambo! Rejea mada hii: BLINDSPOT: Uchochoro wa kupiga popote Kukamatwa kwa bomba hili kwa bahati nasibu tuu ni mwendelezo wa ufunuo wa udhaifu wa serikali ya awamu ya tano iliyojinasibu kudhibiti wizi, rushwa, upigaji na...
  6. Geza Ulole

    Jinsi Serikali inavyoweza kuzuia wizi wa mafuta Kigamboni

    Kwako mama Samia, Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!! Nashauri bomba lote...
  7. 2019

    Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama wamebaini nyumba iliyopo mtaa wa Ugindoni iliyotandazwa mashine zinazotumika kuchimba visima vya maji lakini badala ya kuchimba chini kuelekea maji yalipo, wanachimba kuelekea usawa yalipo mabomba ya mafuta...
  8. B

    Mgomo wa Daladala Kigamboni

    Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road. Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo...
  9. Latifasaid

    Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  10. K

    Bei ya SimTank lita 5,000 na PolyTank lita 5,000 Kwa Kigamboni

    Naomba mwenye kujua bei ya Tanks hapo juu kwa Kigamboni anisaidie kujua. Natanguliza shukrani.
  11. Thom Munkondya

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kinondoni Mabwepande

    *HABARI NJEMA KUHUSU VIWANJA VYA KIMBIJI VILIVYOPIMWA NA KUUZWA KWA MILION 1.5* Baada ya mwitikio mkubwa kuliko idadi ya viwanja vilivyokuwa vinauzwa kigamboni kimbiji mtaa wa golani nyuma ya kiwanda cha cement (nyati). Mmiliki wa eneo Mr.kilala amekubali kuongeza block jingine la viwanja 15...
  12. B

    Kiwanja kinahitajika, Kigamboni kibada, bajeti 4m

    Kiwanja kinahitajika maeneo ya kigamboni kibada. Bajeti 4M Kiwe maeneo hayo ya kibada Simu 0716411720
  13. Tomaa Mireni

    Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
  14. U

    Taarifa kwa Umma: Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Michezo unaendelea kwa kasi Kigamboni

    Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
  15. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  16. ommytk

    Wazo kwa wilaya kigamboni anzisheni stand ya mabasi kwenda mikoa kwa kigamboni

    Wazo kwa wilaya kigamboni kutokana geography ya eneo LA kigamboni kuanzisha stand mabasi mkoani itasaidia wananchi pia no chanzo cha mapato
  17. ommytk

    Eneo linauzwa au uwekezaji gezaulole Kigamboni lina heka 600

    Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
  18. ommytk

    Plot4Sale Tunauza eneo Kigamboni Geza Ulole kwa heka

    Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
  19. ommytk

    Kigamboni sehemu yenye speed camera nyingi barabarani

    Hivi kwanini Kigamboni kuna camera nyingi barabrani za speed au ni kwakuwa nje ya DSM yaani unadrive kama unasafiri mkoani
  20. TheDreamer Thebeliever

    Kama bado haujatoboa kimaisha epuka kuishi Temeke au Kigamboni

    Habari wadau..! Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo. Facts 1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo. 2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe 3.Wizi wa kurudishana nyuma...
Back
Top Bottom