Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
"Asilimia 70 ya huu mkoa ni wambea, na wanapenda umbea kuliko chochote kile, msikubali wakawatenganisha wewe na RAS wako..wanapiga majungu sana hawa msiwaone hivi, wanamjua mtu kuliko anavyojijua yeye". Aliyekuwa RC Dar es Salaam-Paul Makonda
ITV Tanzania.
Kwa bahati mbaya siishi Tanzania je...
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala...
Jimbo la Kigamboni ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi katika jiji la Dar es Salaam
Kama mmoja wa watia nia katika Jimbo hili ninakusudia kuchukua FOMU ya kugombea Ubunge katika Jimbo Hili
Zifuatazo ni baadhi ya sera:
MUHTASARI WA SERA NA MALENGO YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
Moja kati...
Kiwanja kinauzwa
Kina ukubwa wa 900 sqm Kiwanja Kipo Kigamboni Gezaulole Umbali wa KM 2 kutoka Barabara kuu ya lami.Kiwanja hakina hati.Bei ni TZS Mil 14.5
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 300 kipo Gezaulole km1 kutoka barabara kuu ya lami.Hakina hati-Bei ni TZS Mil 7.
Kiwanja Chenye ukubwa sqm 225...
Jamani utaratibu wa kupata nafasi ya kugombea CCM Ni mgumu mno kwa mtu wa kawaida na asiyemfanyabiashara mkubwa, pale ni kweli Kuna wenyewe, na fitina , kujuana, family history, rushwa vina husika sana.
Mimi naamini huyu Sugu au professor asingepata nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM miaka...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili...
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima
Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini?
Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
Haya ni mawazo yangu binafsi na kile ninacho hisi naomba nielekezwe au kukosolewa kwa hili,
Kwanza, Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, majimbo mengine badae Kwa nini, Kwanini tena Kwanini.
Pili, Alikuwa Mkuu wa...
Nikiwa kama ' Mzalendo ' wa nchi hii pendwa na tukuka kabisa ya Tanzania nadhani Kisheria nina Wajibu wa Kutoa Mawazo yangu ya Kimtazamo na ikibidi hata Kuwasaidia Wahusika hasa Mamlaka zenye Dhamana ya Haki na Usawa nchini katika Kutekeleza Majukumu yao mema kwa Ustawi wa Amani na Demokrasia ya...
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua...
arusha
askofu gwajima
ccm
dodoma
freeman mbowe
furaha
halima mdee
jerry silaa
jpm
kigamboni
kigoma
kura za maoni
makamba
makonda
matokeo
mbunge
mkono
mshindi
mtu
mwakyembe
pascal mayalla
paul makonda
pesa
rais magufuli
rushwa
tarime
ubunge
uchaguzi
watanzania
wote
Wana jamvi,
Niseme tu kwamba ninayo yasema hapa ni maoni yangu binafsi naweza kusahihishwa au la, ni kwamba Paul Makonda anaingia kugombea kwenye Jimbo ambalo alikuwepo Aliye wahi kuwa Naibu Waziri wa Afya, je huyo Waziri mstaafu hagombei tena kwa jimbo hilo?
Makonda kuonekana kugmbea huko...
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua...
Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura.
Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao.
Wamedai waziri mstaafu Prof...
Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3 nyingine umalizie ndani ya muda tutakao kubaliana
Vimepimwa na vina hati ukilipa cash unapata hati...
Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo za kugani.
Pia soma
> Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania
> Huyu Mpoki vipi...
Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi!
Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.