Kwa mara ya kwanza nimekuja Kigoma baada ya miaka 25. Nimeshangaaa sana. Kigoma si mbaya kihivo kama ilivo jina lake, na kama binafsi nilivokuwa naichukulia iko tu kama mikoa mingine Kama Sumbawanga, Lindi, Tabora au Ruvuma na Shinyanga.
Kifupi Kigoma haina sura mbaya hivyo inayoonekana. Ila...