kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  2. Pleasepast

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  3. Kidagaa kimemwozea

    Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  4. Nyani Ngabu

    Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

    To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel: 1. You are suckers. 2. You are all stupid people. 3. You are all idiots. And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka

    Kamari Kamari Kamari Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali. Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu...
  6. K

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
  7. MK254

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  8. Nyafwili

    Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

    Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya ndoa (watoto waliopatikana ujanani) ni; • Mambo ya Kihisia: Kuzaa mtoto nje ya ndoa kunaweza...
  9. M

    Huyu ndio yule kijana MFALME wa kusini DJ MISO MISONDO kama ulikuwa humfahamu

    Mpe maua yake 😁😁
  10. DR HAYA LAND

    Hakikisha unamiliki akaunti ya Benki kama kijana

    Kijana kabla haujatumia hela yako kuiingiza katika biashara hakikisha unaipitisha bank . Bank kuna upako mkubwa Sana pitisha hela yako sehemu ambayo matajiri wanapitisha . Pia hakikisha nyumba unayoishi amka ukiwa mtu Wa kwanza maana baraka za Ahsubui utazipata wewe ukiwa Wa kwanza unaweza...
  11. Bull Bucka

    Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
  12. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  13. MKATA KIU

    Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  14. BARD AI

    Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  15. Chachu Ombara

    Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

    Wakati makundi mbalimbali yakimjia juu Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Pauline Gekul kwa madai ya udhalilishaji, mwanasiasa huyo kupitia katibu wa ofisi yake, ametoa ufafanuzi akigusia madai ya kuwapo imani za kishirikiana na ushindani wa kibiashara. Ufafanuzi huo awali ulitolewa na Hussein...
  16. saidoo25

    Kijana mzalendo amvaa Paul Makonda ahoji ukimya wake mkataba wa bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023. 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
  17. Tlaatlaah

    Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Amemaliza chuo kikuu ngazi ya Shahaada mathalani 2015. Amejitahidi kusaka ajira serikalini na kwenye sekta binafsi tangu wakati huo, mpaka sasa bila bila, na anaelekea kukosa sifa za kuajirika kwa mujibu wa sheria kutoka na kigezo cha umri na uzoefu. Mambo ni mengi na ni Magumu, na muda ni...
  18. Zombie S2KIZZY

    Kijana mpya ndani ya WCB Wasafi

    Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake kwahiyo itumie vizuri nafasi hii mdogo wangu 👏 Wanajamii support kipaji kipya hiki. #SwahiliKid #WCB4LIFE
  19. Objective football

    Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione...
  20. The bump

    Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

    Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika. Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika. Nyumba imekamilika inayofaa...
Back
Top Bottom