kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  2. Ester505

    Yuko wapi kijana Majaliwa yule muokoaji??

    Kwa mwenye TAARIFA zake jamani maana alivuma Sana kipindi kile Cha ajali ya ndege, maana inasemekana yeye alisaidia kuokoa watu ndani ya Ile ndege iliyodondokea kwenye maji na akaambiwa akasomee kozi ya uokoaji.
  3. AnyWayZ

    Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  4. Equation x

    Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

    Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu. Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini. Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi...
  5. February Makamba

    Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

    Tafadhali zingatia: Maokoto Urahisi wa ajira (za kisomi na zisizo za) Urahisi wa maisha kwa mgeni kuweza kufit haraka Ukali wa ubaguzi Urahisi wa kupata Huduma (elimu, afya, usafiri nk.) Hali ya hewa nk. Ni nchi gani ambayo ni Best kwa kijana mpambanaji kwenda ikawa rahisi kutoboa? Kwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  7. Kommando muuza madafu

    KIJANA MDOGO AJENGA GHOROFA

    Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe. https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
  8. Juma Wage

    "Aliou Sawadogo" kijana wa Burkina Faso aliyeitungua "Drone" ya Ufaransa kwa manati

    Novemba 24, 2021 Kijana wa miaka 13 raia wa Burkina Faso, Aliou Sawadogo akiwa na manati yake porini akiwinda ndege, aliona kitu kikiambaa angani. Sawadogo akatoa jiwe kutoka katika kaptula yake kisha akaliweka katika kigozi cha manati na kuanza kutafuta shabaha. Akavuta pumzi na kuzishusha...
  9. The Burning Spear

    Ewe kijana Mpananaji Mpira na Mapenzi visikupotezee Mda wako

    Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako.... Miaka 25 mpaka 40 ni miaka ya kuvunja jasho la damu. Ni miaka ya kutafuta kwa namna yoyote ile. trial and...
  10. Roving Journalist

    Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  11. matunduizi

    Kijana wa kikristo anatakiwa kukaa kwao hadi atakapooa hata kama ni miaka 50. Umasikini wa wazazi ndio unapelekea watu wakimbie kutafuta maisha

    Kwa Mujibu wa maandiko mtu huoa kutokea kwao sio magetoni au alipopanga au kujenga. Mzazi wa Kikristo anatakiwa kuwa na utajiri sio tu kuhudumia familia bali urithi kwa wajukuu wa watoto wake. Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; <br>Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa...
  12. JGimbuya

    Anahitajika kijana wa salon Dar, Tegeta

    Naitaji kijana wa Salon ya kiume, ipo Tegeta Azania. Kwa mazungumzo zaidi nicheki kwa namba 0768370986.
  13. kindikinyer leborosier

    Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  14. Gwili

    Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea...
  15. matunduizi

    Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

    Watu wengi ni wazee lakini vibogoyo, wamepinda, hawaoni, hawanusi, wanatembea na chupa za mikojo na vidonge vya rangi mbalimbali. Huu uzee unagharama sana. Kuna mambo ukianza kufanya leo yanaweza kukusaidia ukazeeka huku huku ukiwa unanguvu na kila kitu kiko vizuri. 1: Asilimia kubwa ya vyakula...
  16. JITU BANDIA

    Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  17. M

    TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  18. sky soldier

    Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  19. sky soldier

    Kucheza mpira kuna uhakika zaidi kuliko kuimba Bongo Flava. Ewe kijana ama mzazi mwenye kijana, Mpira Ruksa ila Bongo Flava iwe burudani tu

    Ni ushauri kwa vijana na wazazi wenye vijana ambao wanataka kuingia kwenye haya mambo, Kwa nchi yetu tuwaase zaidi vijana wanaotaka kucheza mpira kuna chance nzuri ya kufanikiwa ila hawa wanaotaka kuimba watafute shughuli zingine, mziki waufanye kwa burudani tu maana chance yake ni ndogo sana...
  20. MamaSamia2025

    Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
Back
Top Bottom