Kichwa cha habari chajieleza,
Anahitajika kijana mdogo na mchapakazi mwenye umri kuanzia 18-20 atakayefundishika kutengeneza bidhaa
tajwa hapo juu, kisha kuzichukua na kuzipeleka eneo la mauzo. ipo mashine ya kutengenezea.
Umri huu wengi hawatumii jf, lkn lengo ni kama wewe mwanajf una kijana...