kwa jina la jmt, mnasalimiwa mno!
Kwenye mada:
Jamani ni mbinu gani, ni namna gani, ni kivipi naweza kumtokea huyu mwanadada ambaye ni bosi wangu wa kati?!!! Nimejikuta namuelewa mno, ananivutia haswaa!
● Mkali na ukali wake wageuka kivutio kwangu kiajabu kabisa. Anagoma kweli pale kazi...