KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake.
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi.
Rais amesema...
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope.
Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM.
Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.
Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa?
Vipi hii kuwahusu hawa wengine?
Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati.
Waziri Makamba amesema nchi hizo zimeendelea...
TAARIFA KWA UMMA.
Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021.
Baada ya tafakuri ya kina, ACT Wazalendo tumeamua kuwa HATUTASHIRIKI kikao hicho kwa...
Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.
#ChamaImara
#KaziIendelee
Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa?
Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho?
Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo?
Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa...
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.
Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022
Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.