Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta.
Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja.
Pia M23 wametuma ujumbe wako...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar
SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo:
1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali.
Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
===
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo tarehe 12 Novemba 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Mama wa Taifa na Jasiri mwongoza njia Ndg Samia Suluhu Hassan...
Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza!
Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza!
Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
Team, Hi!
Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu?
(a). Wabunge wanadoji vikao?
(b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya bunge kipindi hiki cha vikao vya bunge?
(c). Posho za vikao kwa wabunge hao zinalipwa kwao au...
Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne.
Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi.
Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 28 Oktoba , 2022.
#CCMImara
#KaziIendelee
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani.
kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI
Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu Serikalini.
Imeelezwa majibu yanafanyiwa kazi na kukiwa na umuhimu wa kufikisha kwa Wananchi Serikali...
Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa
Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo...
Ukimsifia sana mwanamke juu ya uzuri wake jua unakaribia kumkosa!.
Ndio tunajua anamacho mazuri, pua nzuri, ngozi amaizing, chuchu saa sita na nusu na nyuma mabonde mawili yametuna inavyotakiwa n.k
Swala la kuvisifia hivi viumbe lifanyike kwa akili msifie huku..... Akili za hivi viumbe sio za...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu.
Kikao hicho ngazi ya Wilaya kimefanyika leo tarehe 11 Septemba, 2022 katika Ofisi ya CCM Wilaya.
Viongozi...
TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati, kilichofanyika Mkoani Tabora, katika ukumbi wa Isike...
Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana.
Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta.
Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.