kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    M/kiti wa wafanyabiashara Kariakoo anawatisha wale wote waliozungumza kwenye kikao na Lissu

    Nukuu ya mwathiliwa; Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwanini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais! Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu...
  2. HaMachiach

    Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

    Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
  3. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 42 - tarehe 07/06/2023

  4. Jidu La Mabambasi

    Bandari ni njia kuu ya uchumi, Kikao gani cha CCM kimebadilisha msimamo wa chama?

    Hili suala la ubunafsishaji bandari ya DSM limeleta mtafaruku wa kisiasa. Mwalimu Nyerere 1967 alitaifishashuhuiztekuu za kiuchumi ili nchi tujitawale wenyewe. Yeye aliziita njia kuu za Uchumi. Humo yalikiwemo mabenki, nyumba, makampuni ya usafirishaji, makampuni ya madini (Mwadui). Sasa leo...
  5. Roving Journalist

    Naibu Waziri asema Bima ya NHIF haina madaraja, Kikao cha Bunge Julai 6, 2023

    NAIBU WAZIRI: HAKUNA MADARAJA KATIKA BIMA YA NHIF Mbunge Aida Joseph Khenani alitoa hoja kuwa Wananchi wanapokata Bima za Afya za NHIF wanawekewa ukomo wa baadhi ya huduma na dawa wanapofika Hospitali hali inayofanya baadhi waone hakuna umuhimu wa kuwa na Bima hiyo. Naibu Waziri wa Afya, Dkt...
  6. benzemah

    Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  7. olimpio

    Rais Mwinyi aongoza kikao cha jumuiya ya madola kinafanyika zanzibar kuhusu mageuzi ya kidigitali

    Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za...
  8. Roving Journalist

    Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  9. Roving Journalist

    Serikali yasema idadi ya magonjwa ya ngono imeongezeka pia watu 1,612,52 wanatumia ARV’s Nchini Tanzania

    Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 11, kikao cha ishirini na tatu, Mei 11, 2023

    WAZIRI MKUU AMEZUIA MAPATO KUKOPESHWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezuia mapato ya mwezi Aprili, Mei na Juni ya Halmashauri zote nchini kutokopeshwa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, mpaka pale utakapoandaliwa utaratibu mzuri. WAZIRI MKUU AZUNGUMZIA UVUMI WA BAADHI YA NCHI KUFUNGA...
  11. Roving Journalist

    Mbunge Waitara aonywa kwa utovu wa nidhamu, atakiwa kujirekebisha

    WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1 (c). Waitara alitoka nje ya Ukumbi wa Bunge akionesha kutoridhishwa na majibu ya Serikali kuhusu...
  12. Unai Emery

    Kikao cha takwimu sio hisia

    KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH. CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio?? Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne kwenye orodha ya wafungaji akiwa nafasi ya pili nyuma ya Washambuliaji kama Peter Shalulile wa...
  13. Roving Journalist

    Waziri Bashe: Nani kasema vijana wa Dar es Salaam hawawezi kulima?

    MBUNGE: UKAGUZI KWA WATUHUMIWA GEREZANI UNADHALILISHA WANAWAKE Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amesema “Tunawasisitiza RPC, OCD na Wakuu wa Vituo kuzingatia Sheria kwa makosa yanayostahili dhamana, pia Serikali imetenga fedha katika Bajeti ijayo kwa ajili ya kununua vifaa vya...
  14. Roving Journalist

    Mbunge adai Wilaya ya Ushetu haina jengo la Kituo cha Polisi wala nyumba za Askari

    WILAYA YA USHETU HAINA JENGO LA KITUO CHA POLISI WALA NYUMBA ZA ASKARI Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amesema Wilaya yake haina jengo lolote la Kituo cha Polisi wala hakuna nyumba za Askari ambapo wanatumia mfumo wa kupanga kwenye majengo ya watu na taasisi...
  15. BARD AI

    Rais Samia aagiza Msajili kuitisha Kikao kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni kuwashirikisha wadau katika kutathmini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa kikiratibu maoni ya watu kuhusu demokrasia ya vyama vingi vya...
  16. MK254

    Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  17. benzemah

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, 3 Mei 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.
  18. Roving Journalist

    Hussein Bashe: Serikali haiwezi kudhibiti bei ya Mazao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 15 leo Aprili 28, 2023. Serikali imesema haiwezi kudhibiti bei ya mazao, bali inapunguza gharama za uzalishaji kwa wakulima pamoja na kuongeza tija kwenye uzalishaji ili wakulima waweze kupata faida baada ya gharama zao...
  19. R

    Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  20. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 11, Kikao cha 5 leo April 12, 2023

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
Back
Top Bottom