MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea...
NITAANZA NA TATU BORA
1)AMINA
Wanawake wenye hili...
Yaani sijui kwa nini salon za kike zinasifika sana kwa umbea, kila atakayepita macho nje kumchungulia na kumchunguza wajue mtu kavaa nini, anakwenda wapi yaani ni vituko.
Sasa juzi nilikwenda salon kusuka zikaanza mada za watu mbalimbali yani kujadili watu, kuna mdada mmoja alipita ile kukata...
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au...
Hope ni wazima Wana Jf
Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka.
Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.
Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa.
Kiufupi...
Assalamu alaykum Wana jamiiforums
Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke.
Sifa.
1. Asiwe katika mahusiano
2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada.
3...
Nauza chupi za cotton kwa bei ya jumla mzgo umetoka China
Location: dar es salaam
Bei negotiable kutokana na idadi unazotka si chini ya pc 100 nauza
0753595520
Habari ya uzima,
Nina Mdogo wangu yupo chuo kikuu anasoma Education mwaka wa pili English na Kiswahili.
Kama mnavyojua changamoto ya Elimu yetu unaweza kutoboa Hadi chuo kikuu lakini bado ukawa haupo smart au competence katika kudadavua Mambo ya Maisha na career yako. Huyu Mdogo wang yeye ni...
Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia
JISOMEE HAPO...
Siku chache baada ya kuwataja #LilWayne na #Eminem kuwa ndio 'Rappers' wakali wa muda wote (GOAT), Tyga ameamua kumpa Nicki Maua yake na kueleza kuwa hakuna Rapa mwingine wa kike anayemkaribia.
#Tyga ambaye amewahi kuwa chini ya Label Young Money pamoja na Nicki, amesema rapa huyo anajua...
Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli), kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama, atayeguswa naomba...
Ukifuatilia huku mtaani kuna nguvu ya kutaka kuwalinganisha Watoto wa kike na wakiume kitu ambacho kimsingi sina tatizo nacho ila tatizo ni utekelezaji wake
Namaanisha kuna gap kubwa tunaliacha kwa kukosa kulea Watoto wetu wa kike kujikubali na kujiamini kuwa wao ni Wanawake na kuwafunza...
Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria.
Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8) kutokana na filamu yake ya Lionheart, Mwaka 2011, Genevieve alikuwa akilipwa Pauni 95,000 (Tsh...
Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro.
Mwenyekiti wa...
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere,
Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.
Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.
Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..
Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.