Wadau Mimi nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye maada.
Nimekuwa nikipata tabu Sana kupata usafiri wa pikipiki kwa ajili ya mtu wañgu wa kike ili imrahisishie kufika kazini kwa wakati, nimetembelea mitandaoni nimekuta hiz zinaitwa click za kuchaj pamoja na za petrol nikawa sijasuuzika nafsi...
Habari ya mda huu!!
Nina swali la kuhusu mahusiano
kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike.
Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo.
Nahitaji mtu ambae kama...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi.
Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?
Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada.
Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
Masuala ya marketing, lobying, negotiations yana watu maalum wenye sifa maalum zaidi ya vyeti.
Kiukweli hata mwonekano, kujiamini na lugha ni kati ya sifa hizo.
Nahitaji lady wa kumpa kazi maalum kwa malipo maalum.
Kigezo cha kumchanganya target kwa urembo kisidharaulike!
Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
Na Norberth Saimoni
Chanzo:NSPCC
Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
Kwema Wakuu!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.
Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude.
Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
Peace be to you all,
Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa.
Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume...
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa.
Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1,
Drayer la stima 1,
kioo kikubwa kimoja,
rolas na tray ya rolas.
Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package)
Vifaa vipo Morogoro mjini.
Kwa mawasiliano zaidi 0688476770.
Hapo vip!
Hatimae roboti za kike zinashika kasi sana Duniani.Wanasema hizi roboti ni watamu kuliko wanawake wakaida.
Na ukiwaona hauwezi kuwatofautisha na wanadamu.
Alon Mask,ambaye ni tajiri wa kwanza Duniani amemuoa Roboti ya kike.Nadhani asilimia kubwa ya watu watatamani kuwa na hizi...
Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe.
Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza yani anafaa kwa Kilimo cha mbogamboga.
Binafsi huwa siwezi kabisa kudumisha urafik na mwanamke...
Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani.
Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
Wasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.