Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35.
Nipo Dar, nimejiajiri.
Kiongozi na mtawala.
Cuddling expert.
Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k.
Napenda kucheka, kuchangamka, kufurahi na kuchombezana.
Furaha yangu...