Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani.
Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika.
Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu...