Kikwete ndiyo binadamu anayejua uchumi na siasa kwa pamoja. Agenda yake ya awamu ya pili alifanikiwa sana. Aliunganisha makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami, nchi za jirani kwa lami, mfano mpaka wa Sirari, Tarakea, Holili, Hororo. Mtu mwingine anayejua uongozi Anna Semamba Makinda...