Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza
CHANZO: Mwanachi Instagram
--
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama...
Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia...
Rais wa awamu ya nne leo akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM kwenye kutimiza miaka 72 tangu aje duniani, ameongelea uchaguzi wa ndani ya chama cha CCM mwaka 1995.
Kikwete amesema baada ya Benjamin Mkapa kuteuliwa na CCM, watu waliokuwa upande wa Jakaya Kikwete walipandwa na Jazba akiwemo...
Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya.
Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba.
Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ametahadharisha ya watu wanaokwamisha uwepo wa baadhi juhudi za Serikali katika taasisi nyeti za umma zinazohusika na masuala ya biashara na uwekezaji.
Dk. Kikwete amesema ufanyaji kazi kwa mazoea, udokozi, ufinyu wa utafiti, ubora hafifu wa bidhaa ni masuala...
Leo 07.10.2022 Mzee Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne Nchini Tanzania anatimiza miaka 72!
Je, unakumbuka yapi toka kwenye uongozi wake? Tumtakie maisha mema na yenye baraka tele!
Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana.
Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi, na Mambo ya msingi tu.
Kwa kikwete yeye alimix Vetting inasemaje na uswahiba
Kwa magufuli hapa...
Wasalamu wana JF,
Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi.
Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali...
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE) ameshiriki katika Mkutano wa Mageuzi katika Elimu uliondaliwa na Umoja wa Mataifa, tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini New York, Marekani...
Prof. Ibrahim Lipumba leo ameuelezea uchaguzi wa 2020 akiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na TCD. Lipumba ametolea mfano Pemba ambako CCM walikuwa hawapati viti lakini 2020 wakabeba viti 12 ilhali Tanzania bara kati ya viti 214 upinzani uliambulia viti viwili pekee mpaka Unyanyembe wakaja na...
Salaam Wakuu,
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga...
Dj walete na song letu la Iyena iyena.
Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya.
Ni kipi kimekushangaza?
Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya.
Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi.
Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
Watanzania tulikuwa na hamu Sana ya kumsikia kiongozi wa Jopo la waangalizi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki, Jakaya Kikwete, ambaye aliongoza Jopo hilo, kwa upande wa Afrika Mashariki, mara tu baada ya kuridi nchini, kutoka huko Kenya, akitoa tathmini ya namna uchaguzi huo ulivyoendeshwa...
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi.
Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate...
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.