M 23 imewajeruhi wanajeshi wetu huko Kivu ya Kaskazini.
Ifahamike m23 ni wahuni wanaoungwa mkono na Serikali ya Kigali na ikumbukwe wahuni hao m23 kipindi cha Kikwete tuliwatwanga hali iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kidipromasia baina ya Serikali ya Kikwete na Serikali ya Kigali.
Sasa baada ya...
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.
Sasa mtoto ambae utajiri wake...
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office.
.and Requests Capacity-Building for State House Staff
---------------------------------------------...
Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.
Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!
Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.
Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ...
Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
Wengi wetu huamini Kikwete ni master wa siasa uchwara jambo ambalo si kweli!
Kwanini;
Unamfahamu mwamba mmoja anaitwa Uhuru Kenyatta?
Uhuru mwaka huu ndiye atadhihirisha umwamba wake wa siasa za East Africa.
Rejea Lowasa na Kikwete na utakuwa upo nyuma ya wakati ukifikiri urafiki wa ghafla...
Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto?
Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama...
Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana.
Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi.
Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana.
Leo...
Kuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox
Fist yo get money
Then you get maza f....r power
Then maza f......r guys will respect you.
What you want in life
Money Power Respect
JK got it all
Jk hajui njaa ni mdudu gani
Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba
Jk kazunguka dunia nzima...
Iko hivi:
Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma.
Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...
Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.
Mtu atakaepata mkanda wa...
"Watanzania wa Siku wamekuwa ni Watu wa Kulalamika tu sijui kwanini na sababu za Kulalamika huwa ni Mbili tu ambapo Kweli Mtu huwa ana Shida na nyingine ni Mtu tu kuwa Mjinga na kutojua Mambo mengi" Mzee Butiku Kada wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere.
Chanzo: ITV...
Habari za mihangaiko wanabodi.
Wiki iliyopita mheshimiwa Rais alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo katika uteuzi huo tumeona watu mbalimbali wakitenguliwa na wengine wakipewa nafasi lakini kubwa kuliko lililozua mjadala ni swala la uteuzi wa Ridhiwani kikwete ambaye amepata...
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo...
Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano.
Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza.
Imewezekana vipi kwa Huseni...
Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania.
Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani.
Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.