Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila...
LEO Desemba 05, 2021
NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"
LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses...
Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm.
Kusema kweli asante sana Rais Mstaafu Mhe Kikwete Kwa kuwaambia ukweli watu wa Mbeya. Watu wa...
Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi.
Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu...
Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amekataa kupokea ekari 50 ambazo Serikali ya Mkoa wa Mbeya imezitoa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu cha Dar es Saalam kampasi ya Mbeya na kutaka wapewe eneo lenye ukubwa wa ekari...
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.
1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?
2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi...
Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa.
Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee.
So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
High-level Dialogue: An Adaptation Acceleration Imperative for COP26 - Jakaya Mrisho Kikwete
The Global Center on Adaptation (GCA) convened a High-Level Dialogue towards shaping a clear “Adaptation Acceleration Imperative for COP26”. Just weeks from the start of COP26, the dialogue gathered...
Ijumaa khareem,
Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko Hong Kong China akifanya biashara ya madawa ya kulevya,
Kwakuwa sheria za Nchini China ukiiondoa...
Mzee Jakaya!
Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya?
Ninafahamu kuwa wewe personally siyo mtu...
Mimi na umri wangu mrefu huu nimegundua kitu.
Kuna jamaa zangu walikua wanamlalamikia sana Mkapa wakati ni Rais, alipoingia Kikwete walifurahi mno.
Miezi 4 baada ya Kikwete kuapishwa wakaanza kumlalamikia tena. Ikawa hivyo mpaka alipo maliza awamu zake, tena awamu ya pili ndio hali zao zilikua...
Naombeni msaada maana naona kama hapa kuna shida. Jamaa kajichorea watu na kaandika jina la mtu mmoja kuwa ni Kiwete.
Polisi wanasema kakosea huyo siyo Kiwete ni Kikwete. Na huyu anayechezea maji kwenye beseni wanasema ni Rais Samia.
But mchoraji yeye anasemaje? Kwanini wao waone hivyo na hii...
Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke
1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote,
2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote.
JPM...
"Nimefanya ziara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze Modern Islamic. Sekondari hii ni alama ya mashirikiano baina ya Serikali na watu binafsi. Kupitia Serikali ya awamu ya Sita, mashirikiano haya yatazidi kuimarishwa kwa faida ya Taifa letu." Mbunge wa Chalinze Mkoani...
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo.
#KaziInaendelea.
Rais Mstaafu Kikwete anamsifia rais Samia kwa utendaji mzuri kama alivyofanya kwa marehemu Magufuli bila kujali machungu ya wa-TZ.
Ni tabia ya kulazimisha kutuonesha uhusiano wake na marais walioko madarakani. Wakati Magufuli akiingia madarakani, kulikuwa na marais wastaafu watatu; Mwinyi...
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya.
Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho.
My take. Hii inaweza kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.