Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete.
Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...