kikwete

  1. Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

    Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi. Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana. Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
  2. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  3. Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ahimiza amani katika Nchi za SADC

    Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
  4. Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  5. Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  6. R

    Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kuanza kutibu nguvu za kiume

    Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI), inatarajia kuanza kutoa huduma ya kuzibua mishipa ya uume ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa JKCI Dk. Peter Kisenge...
  7. Q

    Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

    Tarehe 24/10/2007 Balozi Dr. W.P. Slaa, akiwa viwanja vya Mwembeyanga Temeke alitaja majina 11 akiwemo Rais mstaafu Mkapa na Rais aliyekuwa madarakani Mh Kikwete kuwa ni miongoni mwa Mafisadi wa nchi. Akiongea na waandishi wa habari kwenye hotel ya Regency 13 June, Slaa alisema, “Waliohudhuria...
  8. Kikwete: Rais Samia ni kiongozi asiye na papara na ni mtulivu

    --- Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
  9. Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge kuhusu Magonjwa ya Moyo

    Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge katika Mkutano wa Waandishi wa Habari Uliofanyika Kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - Maelezo, Dar es Salaam Tarehe 18 Julai 2023. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter...
  10. Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete yashika nafasi ya kwanza Maonesho ya Sabasaba katika Kundi na Watoa huduma za Afya

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la watoa huduma za afya, vifaa tiba na teknolojia ihusuyo afya wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
  11. Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete: Kunyweni angalau bia tatu tu kwa siku

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili kujilinda na ugonjwa wa moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge amesema hayo leo Jumatatu...
  12. Kwanini Jakaya Kikwete na Baraka Obama wanasifa za kufanana sana?

    Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na serikali na nyuma ya pazia obama ndiyo anaye ongoza Nchi. Ukija hapa Tanzania tena Jakaya Kikwete siyo...
  13. A Letter to Jakaya Kikwete concerning a threat of 'Arab Settler Colonialism' through the instrumentality of Tanzania-Dubai Treaty

    1. Preamble Dear Jakaya Mrisho Kikwete, The Former President of the United Republic of Tanzania, The convergence point of hopes and fears of the citizenry in each and every nation-state is land, the natural resources embedded in the land and the land-borne artificial infrastructures. The said...
  14. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

    Mzee wetu simsikii wala haonekani. Nimeuliza tu.
  15. Mwaka 2015 inadaiwa Kikwete alisaini mkataba kama wa DP World usio na exit clause na Symbioni ya Marekani, tumeishia kuwalipa Bilioni 350 ya fidia

    Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion haki zote na upendeleo wote walioutaka. Mwaka 2016 Magufuli alipoona mkataba kati ya serikali na...
  16. O

    EDO KUMWEMBE: Mzee Kikwete anapokesha kumsubiri Lunyamila mwingine

    ZAMANI mzee Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kupigwa picha akipanga foleni kuingia katika pambano moja la timu yake aipendayo Yanga. Wakati ule alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Alipenda zaidi soka na kikapu. Akizungumzia kitu kuhusu michezo anazungumzia kitu anachokifahamu. Majuzi nilikuwa...
  17. 4

    Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

    Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake Kichwa tajwa chajieleza. Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua...
  18. Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  19. Kikwete alishindwa uongozi kama Rais na sasa ameshindwa tena kama Mstaafu

    Wakati wa Utawala wake... Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi. Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza...
  20. Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu. Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake? Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…