Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli.
Pia limekuja...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze ameanza ziara ya Mkoa wa Mara kwa kutembelea na kuongea na Watumishi wa Manispaa ya Musoma na kisha kufanya ziara kukagua utekelezaji wa mpango wa kuondoa Umaskini...
Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma.
Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
Watu 335 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group.
Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dkt.Tulizo Shemu alisema matibabu hayo ya tiba mkoba yajulikanayo...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 3, leo Agosti 31, 2023.
Ratiba:
Dua
Hati za kuwasilisha Mezani
Maswali
Hoja za Serikali
https://www.youtube.com/watch?v=Fs6MAOPxT6U
WAZIRI GWAJIMA: MILA YA KUWEKEZA MKE AKIWA TUMBONI INACHOCHEA UKATILI WA KIHISIA
Waziri wa...
Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita.
Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
1. KIKWETE NI NANI
(I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU
Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni mwa viongozi walio wahi kuthibitisha kuwa wasahimilivu sana katika kujenga hoja zao pale ambapo...
Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸
Kwanza kabisa napenda niwashukuru Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuuelewesha Umma. Kanisa Katoliki ni...
Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World.
"Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw...
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati...
Ukombozi wa pili wa taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka..
Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupigania HAKI kama walivyo kina Tundu Lissu au Mdude Nyangali au Boniface Mwambukusi au Dr Slaa au Freeman...
GENTAMYCINE sijawahi kuona Shughuli yoyote ile ya Kiserikali na hata ya Chama Tawala CCM ambayo huwa haiwatumii Viongozi wa Dini Kimaombi / Dua.
Leo hii namshangaa kumuona Mtu ambaye aliharibu kwa kiasi Kikubwa Misingi imara ya nchi (Rais Mstaafu Kikwete) kwa tabia yake ile ile ya Unafiki...
https://youtu.be/XejFzX2kqfc
Katika harakati za kupigania bandari isiuzwe mtumishi wa Mungu amejitokeza na kumchambua Kikwete. Mtumishi amesema Kikwete hakuainisha mipaka. Kwamba matendo yapi ya mwanasiasa tanatakiwa kukemewa. Amehoji mbona pindi dini inaposifia wanasiasa hakuwahi kuhoji...
Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk
Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini wapi
Ukiingia kwenye kikao cha Baraza kuu la ACT wazalendo unaweza kudhani ni Baraza la Eid tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.