Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu.
Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa TANESCO isifanye mchezo na ihakikishe kampuni ya Richmond/rostam inapewa tenda hiyo na mchakato wa dharura ufanyike isipewe kampuni nyingine. Na kuwa hakuna mtu anaruhusiwa kuhoji kwani ni maelekezo kutoka Juu yaani Kwa kikwete.

Baada ya hapo ndo ufisadi wa Richmond wa kuchota pesa za TANESCO ukaanza.

Hii ni moja ya madili ya mtandao. Kiuhalisia Rostam yupo kwenye dili zote kubwa za Serikali na kiukweli ndo tajiri namba moja Kwa mbali sana nchi hii, yupo Dili ya sgr, miradi ya kikwete kama bomba la gesi, mitambo ya gesi kinyerezi, rada, ila ununuzi wa ndege aliwekwa pembeni jiwe hawakuwa best friend wake.

Pia inasemekana ana ubia na DP world, yani hiki kirusi kipo every where
 
Alafu mnasema hao akina Moh na bakhresa ndio matajiri nchini, hivi mnawajua WANASIASA?, huenda na si huenda tu katika Top10 ya matajiri nchini hawa tunaowafahamu hawaingii hata TOP5, kuna wenyewe wenye nchi yao, hawa kila deal la pesa ndefu wanashika ndipo wanafuata hao vibaraka wao ambao sisi mitaani tunawaita mabilionea.

I swear Afrika kiujumla ina mabilionea wengi ambao hawaonekani katika list ya matajiri sababu ya kuficha asili ya miradi inayowaingizia hizo pesa.

Madini na rasilimali zote bila kusahau deal chafu za mikataba huku ndiko wanajipigia mabilioni ya pesa, wewe endelea kukisifia chama cha mapinduzi kuwa October mnatiki wakati huo familia yako haina uhakika wa kesho yake wala wewe mwenyewe hujui agenda za sirini zinazofanywa na hao unaowalamba makalio na miguu kuwapa sifa za kijinga.

Hii nchi bila kiongozi MBABE dhidi ya ushenzi wa wezi wa CCM haiwezi kuendelea hata tulete katiba ya aina gani.
 
Wapi makengeza Chenge!

Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi

“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”

MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent

Britanicca
 
Sarungi
 
Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu.
Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa TANESCO isifanye mchezo na ihakikishe kampuni ya Richmond/rostam inapewa tenda hiyo na mchakato wa dharura ufanyike isipewe kampuni nyingine. Na kuwa hakuna mtu anaruhusiwa kuhoji kwani ni maelekezo kutoka Juu yaani Kwa kikwete.

Baada ya hapo ndo ufisadi wa Richmond wa kuchota pesa za TANESCO ukaanza.

Hii ni moja ya madili ya mtandao. Kiuhalisia Rostam yupo kwenye dili zote kubwa za Serikali na kiukweli ndo tajiri namba moja Kwa mbali sana nchi hii, yupo Dili ya sgr, miradi ya kikwete bomba la gesi, mitambo ya gesi kinyerezi, every where
Tajiri dalali
 
Wapi makengeza Chenge!

Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi

“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”

MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent

Britanicca
Mzee wa chenji
 
Huyu mtoto machachari ni mwana harakati, ninaota tu!
 
Back
Top Bottom