Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.
Very sad 😔
Exceptional intelligence kama kila Musk huyu

Ila amechagua kwenda upande mwingine
Kwa kweli watu kama hawa wangeamini kwenye kuijenga nchi
Kwa kweli hata kodi nyingi tungesamehewa

Kwanini nchi tajiri, wafanyabiashara wao wanazidi vizuri?

Ni kwa sababu wamesamehewa kodi nyingi kwenye mauzo yao
Hebu Angalia hata 🇬🇧 tu
Vyakula kodi 0
Nguo za watoto na viatu 0
Vitabu, magazeti 0
Vifaa vya Matibabu hakuna kodi

Hebu imagine tungekuwa huko kwa uchumi wetu
Ila hawa watu ndio wanasabisha mpaka mama ntilie atozwe kodi
Kila kitu kodi kwa sababu serikali ndio imetaka hivyo, ikiwa imewabeba hawa watu

Hebu fikiria kina Bill Gates kwanini wanatoa mabilioni kusaidia Climate change?

Kwa sababu kodi zao ni rafiki sana na wanazidi kuwa matajiri halali kwa nchi zao

Sisi tutabaki masikini maisha kama hatutabadili mifumo hii
 
Kwa ardhi tuliyonayo tungeweza kutengeneza ekari 50 kila mkoa na kufanya ufugaji wa biashara. Makange mabanda ya either ng’ombe, kuku, nguruwe au kondoo na mbuzi. Unalima kuliko cha umwagiliaji hivyo kila baada ya miezi mitatu imagine nafaka ya kulisha mifugo.

Tungeweza kuuza kuku kwa bei nafuu, mama Angela ya kilo ya chicken wings kwa sh 3,500. Watoto Angela na uhakika wa lishe bora.

Sausage na maziwa watu wengi wange mudu kununua.

Huu udon wavfikrabunachabgiwa lishe mbovu. Mchana mnawekewa lumbesa la ugali na bakuli la matembele.
 
Wapi makengeza Chenge!

Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi

“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”

MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent

Britanicca
The late professor
 
He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.

afanye nini jengine ni mifumo yetu ndivyo ilivyo? nimeshaona speech zake mara nyingi anaengea vitu vya msingi sana ila serikali haijali kabisa.
 
Huyu mtu hadi mwendazake alipata shida kumdhibiti. Kuna tatizo kubwa sana.
Alidhibitiwa kipindi cha mwendazake, kama ulimsikiliza vizuri clip ya karibuni ya Polepole aliongelea, Rostam alitegewa mtego wa kukamatwa ndugu yake ili aje mezani kurudisha vitu alivyokwapua vya chama na serikali.
 
Wapi makengeza Chenge!

Naam nimekumbuka, Mwaka 2005 hapo nilikutana na mzee mmoja Ambaye ametangulia mbele ya haki, aliniambia hivi

“MAFIGA MATATU HAYO SI MASAFI JAPO YAMEPEWA NCHI”

MWISHO wa kunukuu, ilikuwa hotel Marriot London
Huyo mzee Alioa mwanamke mzungu Toka Ulaya Mashariki , Ana watoto mmoja machachari sana wengine silent

Britanicca
Baba Maria Sarungi? Ah Watz bana hawaoni. Wanaona dining, misaada so acha wapigwe. Wakitandikwa vizuri watalia na sauti zao zitafika mbinguni. Tatizo jibu la Mungu ni tofauti na tuombacho. Anaweza kujibu kwamba Nataka muondoke hapo muende sehemu fulani wakati tumeomba kubadilishiawa mazingira tu.
 
He is super intelligent, I wish he could us his brain to eradicate poverty but he is using it for his own benefits.
Sasa kakutana na hao wa digiri ya uigizaji ( performing arts) sio ya uchumi au injiniaringi kama wachina.
 
Back
Top Bottom