Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia)

Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
🤐🍔🥂🏄
 
Uzalendo namba moja ni kuondoka ccm mkuu.
 
Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
Ha ha unahangaika bure,mpina kaishaandaliwa kazi nyingine tena nzuri tu,nyie ndio mmekalia lawama
 
Askari wanatuambia hata wao wamechoka tatizo siye tupo kundika andika tu wamasema siku wakitoka kuja tuzibiti wakakuta watu laki moja barabarani hata wao watatuunga mkono tatizo wakitoka askari 50 tu siiye hata tuwe mia tano eti tunawakimbia wanashidwa tuunga mkono ndio wanavyosema ila hata wao wamechoka sana
 
Back
Top Bottom