Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!
Shame upon you!