Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

DNA Test/Kipimo cha vinasaba pekee ndio kinaweza kuthibitisha kwa usahihi zaidi. Njia unayoiwaza automatic itaulaghai au kudanganya fikra za ubongo wako zifikirie kile unachotaka kitokee. Kwa hiyo sio sawa mkuu. By the way hao vijana wapo poa tusiwabebeshe makosa au dhambi za wazazi wao.
Nimeikuta hii vile vile kwenye eneo jingine eti Abdul ni mtoto wa JK?
Pengine wanamsema hata Ritz1 ni mwanaye SSH kupitia JK?
Ukifuatilia mambo mengi utalia!
Eti JK akiwa foreign affairs Ali collude na wazungu kumtoa Nyerere kwa vile alimzuia Urais?
Eti hata Mkapa kuondoka kuna mkono wa JK?
LIlilo wazi zaidi Kifo cha Magu!!! Eti Madam na JK walishirikiana? Limpina lilishasimama Mjengoni likiomba uchunguzi huru kuhusu kifo cha Magu likapuuzwa na kuchukiwa!! Matokeo yake wafuasi wa Magu wanawindwa kama dig dig sasa!!??
JK ndiye Janga la Tanzania for sure! The devil incarnation!
 
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!

Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!

Shame upon you!
Daah mkuu unachamba sio kitoto!!
 
Back
Top Bottom