Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

DNA Test/Kipimo cha vinasaba pekee ndio kinaweza kuthibitisha kwa usahihi zaidi. Njia unayoiwaza automatic itaulaghai au kudanganya fikra za ubongo wako zifikirie kile unachotaka kitokee. Kwa hiyo sio sawa mkuu. By the way hao vijana wapo poa tusiwabebeshe makosa au dhambi za wazazi wao.
Sawa prince Abdula
 
Unaongea

Unakereka wewe kama nani? Uhuru umepitiliza
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!

Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!

Shame upon you!
🤣 🤣 🤣 🔊
 
Kikwete hajakosea kabisa!ye kaonyesha uhalisia was tabia za kimaumbile ya mnyama hasa mammals!

Kila mnyama ana asili ya ku maximise pleasure na ku minimize pain!

Kama uongozi ni mtamu na hauna mipaka yake kisheria na kikatiba lazima atatumia ushawishi alionao kuonyesha asili ya mnyama katika kutimiza haja ya Tamaa yake aliyonayo!!

Kama taifa lazima tungeweka taratibu za kiuongozi kikatiba na kisheria plus uwajibikaji ili mnyama yeyote aitwae binadam asiingilie utendaji wa maslahi ya taifa kwa maslahi ya tamaa zake!!

Turudi kwenye misingi!!
 
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!

Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!

Shame upon you!
🤣🤣🤣🤣
 
Yupo kwenye misheni.. tumiaga akili
 
Unaongea

Unakereka wewe kama nani? Uhuru umepitiliza
Kama wewe hukereki, basi funga domo lako. Mjinga wewe. WAACHE WATU WASEME UKWELI. KIKWETE NI NANI YUPO ANAZUNGUKA ZUNGUKA KUENDELEA KUHARIBU NCHI YETU. Ameshastaafu arudi kwake Msoga, kila mara yupo ikulu, anataka nini?
 
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!

Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!

Shame upon you!
Hapa tayari chui amevua ngozi ya kondoo. Na huyu ndiye Kikwete halisi ambaye mlikuwa hamumfahamu na alikuwa akiwadanganya kwa tabasamu fake huku mkimsifia ni handsome. Cha moto mtakiona!
 
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!

Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi. Siyo kila wakati upo pembeni kama kivuli chake na wala wewe siyo mlinzi wake! Umemuacha Salma anapuyanga peke yake huko Mchinga, wewe na Samia! Imebaki kidogo tu utaanza kubeba kimkoba chake!

Shame upon you!
Kama 99% ya Watu waliosoma nae Shule ya Msingi, Upili na Elimu ya Juu wanasema Darasani alikuwa Mtupu (Hana Akili) unategemea nini? Anachokijua vyema na kukipatia ni kupenda Kuroga (kuamini Ushirikina) na Kubandua kila Sketi inayompitia mbele yake na ndiyo maana ni Member wa kudumu wa mfumo wa WHO wa Umeme wa Gridi ya Taifa.
 
Kikwete amejigeuza NAIBU RAIS.
Wananchi huko mitandaoni wanampopoa kwelikweli kwa kujiweka mbelembele kwenye ziara za Rais.
Yaani anajifanya kumbikumbi wa Rais.
Anataka kujifanya Ambari wa Samia. Ukimuona Zinduna basi Ambari yuko nyuma!.
Huyu mzee hovyo sana.
Rafiki.yake Makamba senior amejitambua na kuachana na huo ujinga.
Huyu naye ngefuata nyayo zake.
 
Back
Top Bottom