Wengine wafanyeje mkuu🤣Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Wengine wafanyeje mkuu🤣
Waisiharamu na uhalibifu wa taifa nilisha sema hapa nchi itafunguliw hiyo code na Rais asiye muislamu...kinacho takiwa kwa sasa ni kumpata rais mwenye Roho kama ya MtikilaFamilia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
ila mimi kwa yote haya ya hao kupata hizi nafasi
siwashangai wala kuwalaumu.
HAPA BILA KUPEPESA MACHO WENYE SHIDA ZA AKILI NI wananchi wa hayo majimbo kama Chalinze na kwingineko huko anakotokea huyo Salma.
Hao wananchi wa hayo maeneo ndiyo wanapaswa kupimwa akili zao, kama kweli zipo sawa.
Siamini kuwa wanashikiwa bunduki kuwakubali hao watia nia.
ila kwa kuwa wanaendekeza njaa na umasikini wao.
Kumbuka kila mtu ana price.
Wanatumika kwa njaa zao na umasikini wao kisha wanakuja humu JF kujiliza nyuma keyboards.
Makamba wananchi walimkataa na kweli
imekuwa hivyo
sasa hayo majimbo mengine wanashindwa nini kama sio kuendekeza njaa zao na umaskini wao katika kufanya maamuzi magumu?
Hivyo tusiwalaumu familia ya kikwete na ya Mwinyi kwa wao kupata hizo nafasi.
Watoto wote wa Mwinyi walioomba Ubunge wamepitishwaFamilia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Sawa Kwa sababu hizo familia ndio zinagombea Majimbo yote zaidi ya 270 Tanzania.Akina Lucas Mwashambwa na chiembe na mashosti zao akina saigilomagema Tlaatlaah na ChoiceVariable wote nyie wafagia choo tu kumamakeh ..
Afadhali hata hawa ni wachache.Familia ya akina Mwinyi ni wanne.Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Sawa Kwa sababu hizo familia ndio zinagombea Majimbo yote zaidi ya 270 Tanzania.
Sana sana familia ya Kikwete ndiyo ccm. Ndiyo maana hata jiwe alipokosana nayo akapelekwa peponi fasta.Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Acha usenge wewe...kwaio una justify ushenzi huo kwa sababu ni majimbo mawili tu..?Sawa Kwa sababu hizo familia ndio zinagombea Majimbo yote zaidi ya 270 Tanzania.
Tena mfagia choo kabisa hawana hata mia mbovu wanatikisa mikundu humu JF waonekane na wao eti ni Wana ccm kumbe MAVI tu ...Wewe ni chawa kwao sio familia
Na wewe nenda kagombeeAcha usenge wewe...kwaio una justify ushenzi huo kwa sababu ni majimbo mawili tu..?
Kundu LAKO. Endelea kua mfagia choo hapo Lumumba.Na wewe nenda kagombee
Hizi ndiyo familia zimeuteka mfumo zitakula mpaka tuje kupata akili 2080Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo