pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
CCM sasa ni mapacha watatu, kikwete, samia na mwinyi! Wengine machawa tu. Fungueni bongo zenu enyi machawa!
Sawa na wewe endelea kutukana ndio utakiwa MbungeKundu LAKO. Endelea kua mfagia choo hapo Lumumba.
Hao ndo wameshikilia usukani Wanajipakulia minyama tu dahhh!!
Utasubiri sana.Hao wapigwe chini kwenye sanduku la kura
Nyerere ni mzalendo wa kweli hakujitengenezea ulaji wala kuweka watoto wake serikalini. Yule mzee aliishi maneno ya uzalendo kweli kweliHivi familia ya Nyerere ilienda wapi?
Wapi Andrew Nyerere?
Kwahiyo watu kumi Ndio umeona ni ccmFamilia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Ccm imetekwa na watu wa Pwani.Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
Tunafahamu vyama vya siasa haviwezi na havijawahi kutuletea chakula, tuendelee na No reform No election.Achana na no reform no election chamsingi usisahua kula vyama vya siasa haviwezi kukuletea chakula mezani tukashike jembe tukalimeView attachment 3423826
Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo