Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.
Ilikuwa mshtuko baada ya ndugu wa marehemu Steven Hamis Massawe (60) kufika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi na kuukosa mwili wa ndugu yao.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya ndugu hao kufika hospitalini hapo kwa ajili ya kuuandaa mwili kwa...
Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park.
2. Wakitoka National...
Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.
Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.
Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu (3.5) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, inadaiwa amelawitiwa na binamu yake aitwaye Underson Alex (19) maarufu kwa jina Nngwe, wakati wakiwa wanachunga ng’ombe eneo la karibu na nyumbani kwao wilayani humo.
Shangazi wa mtoto huyo akizungumza...
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai.
Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO
Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
Moshi. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) imebisha hodi mkoani Kilimanjaro kufanya uchunguzi huru juu ya kiini cha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah.
Taarifa zilizopatikana jana zilisema tume hiyo iliwasili katika Mji wa Himo Mei 26 mwaka huu...
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana.
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO
"Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za kahawa, tumepiga hatua. Lakini pia fedha za kigeni tunazoziingiza kupitia mauzo ya kahawa ni takriban dola...
Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu.
Juzi mama mmoja wa Uru Mjini wilaya ya Moshi Vijijini ametoa Tsh. laki 4 kwa waandishi wa habari wanne ili...
Nimeshangazwa sana na Hit song ya PCee-Kilimanjaro inavyo pendwa na kuchezwa kwenye social media.
Kiukweli jamaa anastahili pongezi kwa kuitangaza Kilimanjaro ambapo wasanii wetu wa ndani wameshindwa kuwa wabunifu kama jamaa.
Kiukweli Pcee apewe credits zake, Kilimanjaro imepewa promo kubwa na...
Mikoa ya Njombe, Kilimanjaro na Mbeya inaongoza kwa matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa wanawake walioolewa, wastani wa wanawake watatu kati ya watano wanatumia njia hizo.
Dar es Salaam. Ripoti ya ‘Utafiti wa Afya, Viashiria na Malaria’ wa mwaka 2022 uliofanywa na Wizara ya Afya kwa...
Nimepata hii picha chombo kikielekea kuzinduliwa.
Kwa ufupi ni boat mpya inayokuja kuendelea kutoa huduma kati ya Zanzibar na Dar Es Salaam.
Chombo kinaondoka kwa mara ya kwanza Bandari ya malindi saa 06;30 kuelekea Dar Es Salaam, nauli zitakuwa kama ifuatavyo.
Economy 30,000 👇🏾
VIP 60,000 👇🏾...
Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023.
Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila ajiandae kwenda kuchunga mbuzi muda ukifikia.
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam.
Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa...
Salaam kabla ya habari.
Jana kuna report imeeleza.
Mikoa ya 1. Dodoma.
2. Singida.
3.Tabora.
4. Kagera.
Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah.
Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka...
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amesema kuwa tatizo la uzito uliozidi na kiriba tumbo limekuwa janga la kitafa katika mikoa ya Kilimanjaro, Dar es Salaam, Unguja na Mjini Magharibi huku udumavu nao ukishika kasi katika mikoa ya Iringa, Njombe na Rukwa.
Akizungumza wakati akizindua mbio za Mwenge...
Serikali ya Kijiji cha Kikarara kilichopo Kata ya Old Moshi Mashariki kwa kushirikiana na uongozi wa Shule ya Msingi Matemboni imewalazimu kuwahamisha Wanafunzi kutoka katika vyumba vitatu vya madarasa kutokana na hali ya usalama wa majengo hayo.
Wanafunzi waliohamishwa wamechanganywa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.