kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngongo

    Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

    Heshima sana, Jana nilikuwa natokea Dar kwenda Arusha.Muda wa saa 2 asubuhi tukapitia hotel ya Kilimanjaro Bus pale Korogwe. Nikaagiza mtori na sambusa tatu na mwenzangu naye akaagiza kama mimi.Baada ya kumaliza tukaletewa bill kibakuli cha Mtori tsh 5,000 sambusa moja 2,000. Nikawauliza huu...
  2. S

    Kashfa kubwa CCM Kilimanjaro

    Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
  3. B

    Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

    Hello wanajukwaa, Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!? Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu! Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo...
  4. Roving Journalist

    Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  5. sifi leo

    Kwa nilichokiona kutoka Karatu mpaka Kilimanjaro, nakusihi Rais Samia ifungulie CHADEMA

    Nianze Kwa kutoa pole Kwa Wafiwa waliofiwa na ndugu Yao na kufanikisha kumpakia kwa ndege kutoka Kalatu mpaka uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro. Nianze Kwa kuusema ukweli Mimi ni mwanasiasa nisiyekipenda na stokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi narudia Tena sitokaa nikipende Chama Cha Mapinduzi...
  6. BARD AI

    Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

    Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
  7. Artifact Collector

    Tanzania idadi ya watu imeongezeka lakini hali sio nzuri mkoa wa Kilimanjaro

    Ukienda mkoa wa Kilimanjaro utashangaa mambo yafuatayo haya matatizo hayako tu uchagani bali hata upareni yapo Idadi ndogo ya wanafunzi wanaoandikishwa darasa la kwanza, huku mikoa mingine wanafunzi wakiwa wengi na wengine wanakaa chini Hali ni tofauti mkoa wa Kilimanjaro idadi ya wanafunzi...
  8. Roving Journalist

    TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  9. Erythrocyte

    Uchaguzi wa CCM unaoendelea ni balaa, huko Kilimanjaro Mgombea asingiziwa kuwa ni kichaa

    Kwenye uchaguzi unaoendelea nchi nzima huko CCM, mambo yanayotendwa ni mazito kuliko mnavyosikia, ni hatari na balaa kubwa, hali iliyoko huko kwenye chaguzi za Mikoa inatengeneza uhasama wa Milele, watu wanasingiziana hadi Ukimwi hadharani. Huko Kilimanjaro, Mmoja wa Wagombea wa Uenyekiti wa...
  10. peno hasegawa

    Ukistaajabu ya CCM Mkoa wa Simiyu angalia uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro

    Uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kilimanjaro , majibu haya hapa.
  11. peno hasegawa

    Ajali ya Basi la Kaprikoni - Hedaru Same Kilimanjaro muda huu

    Hali ya ajali za mabasi yashika kasi.
  12. S

    Kilimanjaro imejaa barafu ya kutosha

    Tofauti na wanasayansi wanavyotabiri barafu Inaendelea kuwa nyingi Kwenye mlima Kilimanjaro
  13. BARD AI

    TRA yadai ilishamalizana na Mwekezaji wa shamba la Maua Kilimanjaro

  14. BARD AI

    Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Juma Makoa amepongeza Wizara kwa kuboresha miundombinu katika eneo la...
  15. JanguKamaJangu

    Kilimanjaro: Wananchi wafikia hatua kulinda ugali wezi wasipite nao

    Ukweli ni kwamba hali hairidhishi kijijini Msaranga wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na upungufu wa chakula Anayelalamika hali iliyotawala, Pulceria Marandu, mkazi wa Kitongoji cha Kwasuva kijijini Msaranga, anatumia kauli: "Ukipika ugali, ukienda chooni au kutafuta sahani chumbani au...
  16. maganjwa

    Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  17. JanguKamaJangu

    UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  18. Nature

    Hatimaye mvua yazima moto uliokuwa unateketeza Msitu wa Mlima Kilimanjaro

    Moto mkubwa uliokuwa unawaka na kuteketeza Msitu na uoto wa asili unaozunguka mlima Kilimanjaro umezimika baada ya mvua kunyesha Usiku wa kuamkia leo Tar 1/11/2022. Takribani wiki mbili sasa jitihada mbalimbali zilikuwa zinaendelea kuuzima moto huo bila mafanikio, mpaka mvua ziliponyesha usiku...
  19. DodomaTZ

    Moto walipuka tena upya ndani ya Mlima Kilimanjaro

    Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu? Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini ---------------- Picha ya...
  20. peno hasegawa

    Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
Back
Top Bottom