Kilimo ni ukombozi, japokuwa kwa nchi yetu kinaonekana ni kazi ya walala hoi, isiyo na thamani na inayowahusu watu masikini. Kwa kupitia uzoefu mdogo nilioupata kwenye kilimo, ninadiriki kusema kuwa, kilimo ni fursa, kilimo ni ukombozi, kilimo ni mafanikio kwa watu na nchi. Ni jambo la kawaida...