kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Basi la Mwendokasi lilikuwa linapita njia ambayo sio yake, limegonga mtu kwenye Zebra, amefariki Kimara

    Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
  2. W

    Wito wangu madereva zingatieni sheria za usalama barabarani ili tumalize siku salama

    Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara. Dereva wa hii gari asubuhi hii amefanya makosa ambayo kama si kwa umahiri wa dereva wa chombo...
  3. Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  4. DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  5. K

    Kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje nimpige pombe?

    Kama kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje tupige vyombo.
  6. Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  7. Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

    Siku tatu hizi hajarudi anapoishi, wamemtafuta simu hapatikani, kazini kwake nao hawampati mwisho akakutwa mortuary hafai Aliopolewa akiwa tayari kaenda. Unajua nilivyopata taarifa ya ile ajali mida ya asubuhi nilishinda siku yote najisikia hatia, mpaka nakajiuliza kwanini lakini sikupata jibu...
  8. J

    Nyumba inauzwa kimara matosa

    Nyumba yenye ukubwa wa almost sqm 300 inauzwa Kimara Matosa: LOCATION: KIMARA KWA KOMBA KAMA UNAENDA MATOSA 4 BEDROOMS HOUSE 3 BATHROOMS 1 SITTING ROOM 1 DINNING AREA KITCHEN STORE PARKING NB:barabara ta gari ipo mpaka eneo husika,ukubwa wa eneo ni square meter 400 BEI NI 80M Umiliki ni karatasi...
  9. Kimara Temboni Mbaliii... Ilala na Nyumba Kali

    https://youtu.be/vOANYMxL3uE?si=pmkUckiKzMBay6eh
  10. N

    KERO Hivi Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kivulini - Kimara ameitelekeza Barabara? Imeharibika zaidi ya ilivyokuwa awali

    Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani. Mkataba huo ulikuwa ni wa miezi sita kuanzia mwezi wa nane 2024, Agosti 2024 Mkandarasi alianza...
  11. Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  12. Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  13. M

    KERO Maji hayatoki Kimara karibu mwezi sasa. DAWASA shida nini?

    Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana. Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa. Hakuna taarifa yeyote inayotolewa. Viongozi wetu wa juu nao kwasasa naona kimya kabisa, zile amsha amsha hazipo. Basi mtupe hata taarifa tatizo ni nini na maji...
  14. KERO Dawasa kwanini Hakuna Maji Maeneo ya Kimara, na hamtoi taarifa Yoyote

    Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu. Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
  15. M

    KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  16. N

    KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

    Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
  17. F

    Vyumba vya kupanga maeneo ya Kimara Suka vinapositiwa bei rahisi alafu vizuri kinoma kuna nini huko?

    Wakuu kwema?. Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
  18. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  19. J

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  20. Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…