kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  2. lugoda12

    KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  3. KatetiMQ

    Usafiri wa Mwendokasi Kimara umekuwa mwiba mchungu

    Nina maumivu Sana moyoni juu ya ninayoyaona hapa kimara hebu tazama
  4. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu. Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public. Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu Ina hati ya mauziano serikali ya mtaa. Umball kutoka barabara kuu kilomita 2.5 Gari inafika mpaka site...
  5. GENTAMYCINE

    Waziri Dk. Gwajima kumkamata huyo Dada wa Nyoka kwa Utapeli na kuwaacha Matapeli wa Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni ni Unafiki mkubwa

    Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
  6. adakiss23

    Traffic Lights za Kimara Bucha hazifanyi kazi kwa muda sasa. Wahusika kulikoni?

    Takribani wiki na zaidi traffic lights zilizopo Kimara Bucha hazifanyi kazi na wahusika wako kimya. Ni eneo hatari mno kwa watumiaji wa barabara, kutofanya kazi kwa taa hizi ni sawa na kuliandaa taifa kuelekea msiba mzito maana hakuna anayejali si Tanroads ambao ndo wahusika wa kuu wala askari...
  7. R

    Tulibomoa nyumba za wananchi Kimara -Mbezi ili matajiri wajenge vituo vya mafuta? Je, hivi vituo vingi kiasi hiki vinapataje kibali?

    Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara. Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi huu. Lakini pia naamini haya maeneo hayakutengwa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya mafuta lakini kwa...
  8. sangaima

    Plot4Sale Eneo lenye nyumba 19 linauzwa Kimara

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  9. kocha Nabi

    Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

    Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
  10. Roving Journalist

    DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua. Mtendaji Mkuu wa...
  11. BigTall

    KERO Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa. Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
  12. S

    Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  13. B

    DAWASA tupeni majibu kama mmeanzisha mgao wa maji huku Kimara Bonyokwa

    Asante kwa kuturudishia umeme, asante kwa kuchukua maji. Kazi iendelee mpaka tunyooke. Kwa kifupi wananchi hatutakiwi kuwa na amani hata kidogo. Siku kadhaa nyuma tulikuwa tunalia suala zima la mgao wa umeme, lakini naona sasa hivi angalau kuna nafuu. Lakini sasa, limekuja suala la maji, kwa...
  14. M

    DOKEZO Serikali, elezeni ukweli kuwa watoto chini ya miaka 5 wanalipia huduma, kama sivyo kituo cha afya Kimara wawajibishwe kwa kutoza pesa na huduma mbovu

    Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu. Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa mtoto anaeleza mwanaye kaumia baada ya kuaguka wakati anacheza, dk bila hata kumgusa wala kumwangalia...
  15. Expensive life

    Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  16. M

    Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  17. M

    Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  18. A

    DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  19. Nrangoo

    Chumba cha kupanga Kimara. Kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi

    Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya. Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi kwa miezi mitatu ya mwanzo. Mwenye nacho naomba tuwasiliane. Asante
  20. GENTAMYCINE

    Huyu Pasta Dominiki 'Nabii Kiboko ya Wachawi' ni nani? Nguvu yake ni ya Kweli? Siyo Msanii kama wa Kawe na Kimara Temboni?

    Kwa Nyomi Kubwa alilonalo sasa na Nyota yake inavyoanza Kungaa huku Akipendwa na Kukubalika zaidi kwakuwa huwa Habahatishi kwa Kukutajia Mbaya wako (hata kama ni Mzazi au Nduguyo) huku Akiwaumbua na Kukutajia Wachawi wako na akikuombea na kufanikiwa hawa wa Kawe na Kimara Temboni wasipomkalia...
Back
Top Bottom