Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.
Wale wazee wa road trip ambao mmepanga kutumia barabara ya Morogoro.
Wale wakazi wa kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Mbezi Mwisho.
Kuna ajali ya lori maeneo ya Kimara Mwisho usawa wa kituo cha BRT kiasi kwamba inalazimu magari yanayotoka mjini kutumia Lane ya BRT kuingilia Kimara Korogwe.
Hivyo...
Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi.
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa...
Mbezi Aluminium and Glass, Wataalamu na wabobezi wa kutengeneza madirisha ya aluminium aina zote, milango ya Aluminium aina zote, Office partition, Balusters, Kitchen cabinets. Pia tuna ofa zifuatazo;
= Madirisha ya chooni
= Usafiri mpaka site ni juu yetu
= Tuna Generator kwa zile Site ambazo...
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.
Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara.
Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji.
Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?
Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba...
Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee, huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka.
Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee, may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
Jana abiria tuliotoka mikoani tulioshuka mida ya saa nne usiku pale stendi kuu ya Magufuli tulipigwa na butwaa pale usafiri tulioutegemea kututoa huko kutusogeza mjini ukikosekana!
Tulitoka stendi ya Magufuli tukajikongoja na mizigo na wengine wakiwa na watoto wadogo kufika mbezi stendi...
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283...
apartment
beach
bei
biashara
buguruni
eneo
ghorofa
hai
hasara
inauzwa
kali
kariakoo
kibamba
kigamboni
kilimanjaro
kimara
kubwa
kutoka
lami
maana
maji
mbezi
mbezi beach
milioni
mita
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kisasa
nzuri
tabata
uchukue
vyumba
Nimepita muda huu kutoka Kimara kuja mjini kati nimekuta foleni ndefu sana kutoka Kimara ha Shekilango na uvunguni mwa Kijazi Bridge ni vurumai tupu kupishana kwa shida balaa, naamini kuna mashuhuda humu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.