Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.
Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.
1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.
2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.
3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.
3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.
Kuna...
Kuna magari yamekwanguana muda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro, magari hayo yameziba njia, mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road, mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.
Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo.
Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster.
Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio...
Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna.
Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi.
Asante.
Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri
Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea
Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
Tumejenga fylover ubungo na kweli saa hizi hatuna tena foleni za ajabu pale. Tukapanua barabara kuanzia Kimara Mwisho hadi Kibaha na kweli njia hii unatirirka tu.
Ila ajabu na cha kushangaza ni hiki kipande cha Ubungo hadi Kimara, kwanini kimeachwa? Yaani unatiririka vizuri ila ukifika tu hiki...
Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini.
Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu.
Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.
Ujenziwa daraja...
Nimepita hapa Kimara mwisho nimeshuhudia mwenyewe kuwa wamachinga wanaiheshimu hii serikali mpya na kutii maagizo ya kuhama wenyewe.
Huu ndio uharibifu nilioushudia, sijui kwa nini wamachinga hawa wameamua kuharibu mabanda na maki zao pia. Anayejua anaweza kunisaidia kwa nini? Maana pamekuwa...
Habari za Leo ndugu zangu, Nimeumizwa na kusononeshwa Sana na tukio lililotokea Leo Majira ya saa 5-6 mchana Jijini Dar - Mtaa wa Kimara Mavurunza, mita chache tu ukitoka kimara DAWASCO kuelekea Kimara Mavurunza.
Vijana wapatao watano wakiwa wamevalia magwanda ya kijani ambapo inasadikiwa kuwa...
Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247
Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo:
Kiwe ni master room
Kiwe maeneo ya Kimara
Kiwe ndani ya geti/fensi usalama wa kutosha
Luku ya kujitegemea (Japo co lazma sana)
Bajeti yangu ni 70K-100K
Nipo serious...
Habari wakuu.
Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.
Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.
Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.