kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
  2. M

    Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  3. BigTall

    Barabara ya Mbezi Mwisho, Kimara kuelekea Town kila siku asubuhi kuna foleni kubwa, hivi tatizo ni nini?

    Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana. Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la...
  4. Ghost MVP

    Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  5. maroon7

    Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

    Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

    Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi. Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo...
  7. P

    Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  8. MR.NOMA

    Hali ilivyo kituo cha Mwendokasi Kimara Korogwe, wengine waghairi na kutoka nje ya kituo

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kudhihirisha kuwa usafiri wa Mwendokasi bado hauwezi kutatua changamoto za usafiri jijini Dar! Leo asubuhi tangu saa moja kasoro mpaka sasa saa 3 mamia ya raia wanaendelea kusota kituoni huku wengine wakiamua kughairi na kutoka nje ya kituo kutafuta...
  9. Lexus SUV

    Phone4Sale Samsung Galax A23

    Habari nauza simu aina tajwa hapo juu. ipo kwa good condition , clean and kila accessory ipo pamoja including charge , air phone and mawasiliano ni. 0756294771....
  10. Msanii

    Inawezekanaje Mwendokasi iondoke Kimara ikiwa tupu hadi depo Jangwani huku ikiacha abiria?

    Ninawaamkua wote. Hali hii inajiri Kimara, Kivukoni hata Gerezani. Inapofikia peak hour magari ya mwendokasi yanakuwa bize kurudi depo Jangwani huku ikiwaacha abiria na sintofahamu ya kupata uhakika wa usafiri. Pale Kimara unakuta gari nyingi zimepaki kama.mbovu na hakuna linaloendelea na...
  11. Ngongo

    Ni Mchungaji Wilbroad Mastai wa Kimara au Dkt. Elioina Kimaro wa Kijitonyama?

    Mkutano Mkuu wa KKKT uliofanyika Chuo Kikuu Makumira Arusha ulimchagua Askofu Dr Malasusa kuwa Mkuu wa kanisa KKKT. Mabadiliko ya katiba ya KKKT Mkuu wa Kanisa hatakuwa tena Askofu wa Dayosisi. Kwakuwa Askofu Dr Malasusa ni Mkuu wa KANISA atalazimika kuachia nafasi yake ya Mkuu wa Dayosisi ya...
  12. BigTall

    Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  13. Nyendo

    Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  14. B

    KERO Kama bajeti imetengwa, nini kinachelewesha ujenzi Barabara ya Kimara – Bonyokwa?

    Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuhusiana na ubovu wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa, kumekuwa na ahadi nyingi lakini utekelezaji unasuasua. Tunafahamu juhudi za viongozi zinazofanywa, lakini tunashangaa nini hasa kinazuia ujenzi wake kutofanyika wakati tuliambia bajeti yake imetengwa katika...
  15. M

    Plot4Sale Miliki kiwanja sasa💪

    Stuka ujanja ni ardhi new new site 2023[📍forodhani city. Viwanja vipya Kisemvule Forodhani Cit,y wahi sasa mapema ujipatie kiwanja kwenye round about ya Forodhani City kwa 1,500,000 tu. Karibuni sana katika Mradi wetu mpya 📍Forodhani City, ujipatie kiwanja kilichopimwa na chenye hati miliki...
  16. BigTall

    Wasimamizi wa Mabasi ya Mwendokasi Kimara hawajali abiria, wanawapuuza kama sio binadamu

    Kituo cha mwendokasi Kimara pia usimamizi ni mbovu sana, yaani unakuta magari yapo ya kutosha, abiria wanajaa kituoni kwa zaidi ya saa mbili. Madereva wanapitapita tu kama hawaoni kinachoendelea,kuna muda magari yanaondoka yakiwa tupu kituoni, yanaacha abiria. Vituo vya DART Mwendokasi...
  17. M

    TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  18. Suley2019

    Ajali ya gari Kimara Suka

    Gari la abiria lililokuwa linatoka Makumbusho kwenda Mbezi likiwa limeingia kwenye mtaro baada ya kudaiwa kusukumwa na roli eneo la Kimara Suka jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo, walisema baadhi ya abiria walijeruhiwa. Credit: Nipashe
  19. maroon7

    Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  20. GENTAMYCINE

    Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
Back
Top Bottom