Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu.
Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
Kiwanja nikizur Sana
Kinauzwa kipo kimara suka
Ukubwa ni mita 20 kwa 22
Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo
Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700
Pkpk Tsh. 1000
Barabara safi.
📞 📲 call/whatsapp: 0689859495
no cheni namaliza biashara
Viongozi wa kanisa kama mlivyofanya kwa mchungaji Kimaro fanyeni na kwa mchungaji Wilbroad Mastahi wa kimara KKKT.
Huyu mchungaji anaonekana ana ushawishi na ni mpenda naendeleo, amepadilisha sana Kimara, sasa ni muda muafaka kutumia uzoefu wake wa kimara kuboost makanisa mengine.
Mpelekeni...
Habarini ndugu zangu.
Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
Habari ndugu zangu,
Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022.
Location-Kimara stopover
Kodi-450K per month
Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6
Vyumba vi3 (Kimoja masters)
Sebule kubwa
Room moja ya jiko
Public toilet (Ipo ndani ya nyumba)
Ipo ndani ya fence, na kuna...
Ukistaajabu ya Musa,
Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi.
Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia.
Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho.
Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi...
Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec?
Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na...
Yaani nikiwapigia watu simu inakata
Napigiwa na watu simu inakata
Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote
Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo.
=====
Daladala inayofanya kazi njia ya Temeke Mbezi imeteketea kwa moto...
Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamedai kutohesabiwa hadi sasa.
Hali hiyo imewafanya baadhi yao kudai kukata tamaa ya kushiriki katika...
NAOGOPA
Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara.
Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma.
Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.