kimataifa

  1. Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

    Hello hello JF Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte. I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
  2. J

    Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

    Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
  3. Wizara ya Mambo ya Nje Kimya, Wizara ya Habari kimya, Hivi hamjui Kimataifa huko Tanzania inaonekana kuna "Civil unrest"?

    Mnamuacha Mpaka Mkuu wa Majeshi ndio Aongee?? Kweli ?? Kweli kabisa?. Tukisema hamjui majukum yenu na kwambaz vyeo vyenu ni matokeo ya Baba zenu ,tunakosea??.
  4. Leo ni siku ya Kimataifa ya Elimu

    Kutokana na tabia yetu ya kutoijali elimu wananchi hatujui kuwa leo ni siku ya kimataifa ya elimu, ingekuwa ni siku ya walevi tungetangaziwa, siku ya wanawake tungetangaziwa, siku ya kuondoa mkonosweta tungetangaziwa, lakini siku ya elimu, acha ipite kimyakimya!
  5. L

    Sekta ya utalii kimataifa kufufuka tena baada ya China kulegeza hatua za udhibiti wa COVID-19

    Jumapili, Januari 8, 2023, China ilitangaza kulegeza zaidi hatua za udhibiti wa virusi vya Corona, na kuondoa masharti ya kuweka wasafiri karantini mara wanapowasili nchini China kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma. Tangu mlipuko wa COVID-19 ulipotokea mwishoni mwa mwaka 2019 na kesi ya kwanza...
  6. F

    Rais Samia anazidi kuifungua nchi kimataifa. Tanzania kunufaiki na fursa za kongamano la Uchumi duniani

    Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa. Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
  7. Nioneshe ofisi yenye weledi wa kimataifa nami nikuoneshe kuku mwenye mwanya

    Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma. Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari...
  8. K

    Mwaka mmoja wa Samia, Tanzania yapaa Kimataifa vita dhidi ya Rushwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
  9. Wanasayansi 10 kutoka Tanzania waliotamba Kimataifa

    Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika Mashariki na ya tisa kati ya nchi kumi bora barani Afrika zenye wanasayansi bora waliotoa mchango mkubwa katika ulimwengu wa sayansi, kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la kimataifa la sayansi (AD Scientific Index 2023). Duniani, Tanzania ni...
  10. Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies

    Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies. Kichwa cha andiko: Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection Link: Numerical Simulation of the Oil Production...
  11. Kutujengea reli halafu tukatane kwenye mizigo anayosafirisha, sio utapeli wa Kimataifa?

    Kuna harufu ya UTAPELI wa kimataifa, Habari SERIKALI kuchukua mkopo kienyeji kienyeji na kisha kukatana kwenye usafirishaji imetoka wapi ?? Utaratibu wa wauza mazao wakileta mizigo kwa mafuso ndio serikali inataka kutumia kwenye SGR na treni zetu mpya ambazo zote ni za mkopo. Awepo mwamba...
  12. Zanzibar yang'aa utalii kimataifa

    Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la utalii la kimataifa ambalo litafanyika kwa siku mbili tarehe 23 na 24 mwezi Febuary mwaka 2023 katka hotel ya Golden tulip uwanja wa ndenge Zanzibar. Lengo kuu la onyesho hilo ni kuhakikisha wanaifikia dunia na kuonesha zanzibar imefunguka...
  13. Desemba 20: Siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa Kibinadamu (IHSD)

    Siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa Kibinadamu (IHSD) huadhimishwa kila mwaka Desemba 20 Duniani kote ili kusherehekea Ubora wa Umoja katika Utofauti. IHSD inaangazia lengo la Umoja wa Mataifa na Nchi Wanachama katika kujenga Uelewa kuhusu Umaskini na haja ya kuupunguza katika Mataifa Huru...
  14. Mwanasoka wa Kimataifa kunyongwa Iran, katika harakati za Iran kumpigania "Mungu"

    Serikali ya Iran inaendelea kunyonga watu mbali mbali ambao wanahusika kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za dini ya kiislamu, mmojawapo wa walio kwenye hatari ya kunyongwa ni mwanasoka hodari, yote hii ni harakati za kuendelea kumpigania "mungu" wa waislamu. Hata hivyo maandamano yapo pale...
  15. B

    Tundu Lissu: Mahakama Zetu Haziaminiki kimataifa

    Atoa mfano wa ndege ya airbus kukamatwa Uholanzi baada ya baraza la usuluhishi la kimataifa kuona mwekezaji alipwe fidia kwa mkataba uliovunjwa na serikali. Jopo la waamuzi huwa na watu watatu, mmoja huteuliwa na serikali/mdaiwa yaani Tanzania, mjumbe wa pili huteuliwa na mwekezaji na wa tatu...
  16. K

    Kuisema nchi yako kwenye majukwaa ya kimataifa kunaweza kumsaidia mtu kushika dola?

    Hii tabia ya kuivua nguo nchi yako kwenye MAJUKWAA ya kimataifa inasaidia kivipi kushika DOLA kwa mtu, hapa afrika Kila mpinzani aliwaunda serikali alitumia MAJUKWAA ya kimataifa KUISEMA vibaya nchi yake huko nje? Kwa upumbavu huu wakutokujali hadhi na heshima ya Taifa lako. Ni Bora CCM...
  17. Vijue vituo vya Televisheni vya kimataifa vinavyoongoza kwa watazamaji wengi duniani

    1. CNN (US) 2. BBC (UK) 3. DW (GERMANY) 4. ALJAZEERA (QATAR) 5. RT (RUSSIA) 6. SKY NEWS (UK) 7. VOA (USA)
  18. S

    Usajili dirisha dogo kuelekea michuano ya kimataifa mashariti na utaratibu wake ukoje?

    Habari wadau, Nina maswali haya kuhusu usajili huu: 1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo? 2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani? 3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na...
  19. Freeman Mbowe aanza Majukumu ya Kimataifa

    Hii ni Taarifa tunayoipeleka kwa Umma wa Watanzania na nchi Jirani, kwamba yule Mwenyekiti mpya wa DUA, ambaye pia ni mwamba wa siasa za kisasa na nguzo ya amani Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, Tayari amekwishaanza Majukumu yake mapya. Freeman Mbowe, anayejulikana pia kama Mtemi Isike...
  20. L

    Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…