kimataifa

  1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato (Dodoma) wafikia Asilimia 72

    Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye Barabara ya kuruka na kutua ndege huku Jengo la abiria likifikia asilimia 39. Hayo yamesemwa leo...
  2. M

    Simba asiyesikia la mkuu huvunjika guu, mjiandae tu kisaikolojia ligi kuu na mashindano ya kimataifa sio lelemama!

    Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo! Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina...
  3. LHRC yatoa wito Tanzania kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Ulinzi kwa Watu Wote dhidi ya Kupotea na Kutekwa, 1994

    MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES) Dar es Salaam, Agosti 30, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30, 2024 kinaungana na wadau wote wa Haki za Binadamu Duniani katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya...
  4. Judith Kapinga: Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IECโ€™s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika โ€“ LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
  5. Israel waomba msaada wa kimataifa kwa Israel dhidi ya Iran na Hezbollah

    Wanaukumbi. Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel. ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH Waziri wa mambo ya nje Israel Katz amewaandikia makumi ya mawaziri wa mambo ya nje akitaka kuungwa mkono na hatua za Israel...
  6. Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | ๐ŸŸ Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  7. Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

    RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7) Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) katika Msimu wa Kizimkazi Festival tarehe 23 Agosti, 2024...
  8. Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini ๐Ÿ“Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  9. Waziri wa Madini: Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji utaleta fursa mpya za uwekezaji na uhamishaji wa Teknolojia

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
  10. USAID kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni za Tanzania ili kuboresha Usalama wa Chakula

    Marekani yazipa kampuni nchini dola milioni 8.3 SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), imetangaza kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa za Tanzania ili kukuza biashara, kuboresha usalama wa chakula na kuimarisha ushindani wa Tanzania...
  11. B

    Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers

    Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police Bullets (Kenya) Yei Joint FC (South Sudan) Simba Queens (Tanzania) PVP Buyenzi (Burundi) Kawempe...
  12. Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini ๐Ÿ“ Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  13. Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.

    Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.
  14. W

    WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  15. Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  16. Wadau mbalimbali wakutana Arusha katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) kujadili Mbinu za Kisasa za Ununuzi ili Kudhibiti Rushwa

    https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
  17. Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

    Ndugu zangu wanaJamiiForum Nakusalimuni huko huko mlipo. Nijikite kwenye hoja Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania. Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu. Kila...
  18. 4

    Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  19. Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

    Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
  20. Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ