Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri.
Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo.
Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024.
Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
Aina ya risiti zao
Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama masufuria na vifaa vingi vikiwa vya kieletroniki kama simu, laptop, sabufa, pasi na vitu vingine...
Vidokezo vya Kina vya Matunzo ya Gari kutoka Al Husseiny Auto Parts Tanga - 0713 276892
Kuwekeza muda na juhudi kwenye matunzo ya gari lako ni njia bora ya kuhakikisha kuwa linafanya kazi vizuri na linaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Hapa kuna baadhi ya vidokezo vya msingi ambavyo vinaweza...
Habari zenu wakuu,kama ilivyo kawaida JamiiForums ni home of great thinkers,naamini kwa hiki nitakacho kiandika hakito mkwaza mtu na hata mtu aki comment kitu itakuwa imenisaidia kwa namna moja ama nyingine.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ,kozi nayo soma ni Radiography(utabibu wa mionzi...
hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k.
dunia ni katili sana
Si kila hali ngumu huwa inapita
wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea
wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna...
Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi.
Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid.
Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako
Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele...
Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu!
Sawa...
Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael .
Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
Kama ilivyo kawaida, Watoto wengi wanakuwa upande wa mama kwajili ya huruma aliyoumbiwa kwa asili, Kitu hiki kimekuwa kikiwapa wanawake nguvu na influence kubwa sana juu ya watoto, Lakini wanasahau kwa maksudi kabisa jukumu lao muhimu la kuwakumbusha watoto "Muwe karibu yangu na mdeke mnavyotaka...
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Wakuu wenzetu Hela wanapatia wapi Hadi kutajirika ndani miaka michache wanashusha makontena 40ft..uku wangine biashara hizo hizo miaka na miaka hazikui
Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma.
Sasa simba...
Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Ndugu wanajamvi, nimeingia uwanjani kuzungumza mada ikiwa, hawa madada zetu wa kileo wanavyo jiachilia kwenye mahusiano. Nazugumzia wadada walio kwenye macho yetu kila mara, yaani mtu anae onekana kwenye runinga, kwenye mitandao ya ki jamii, wengi ni 'ma celeb' , wanavyo jiita wengi haswa...
Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.