We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana.
Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia...
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia...
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100.
FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa,
sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000?
kwanini kuwe na cheti...
Yamekuwa yakisikika maneno:
"JF ni Raha sana."
Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.
Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia.
Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda...
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka.
Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank
Kunja huk za...
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???
Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi...
Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Ndugu zangu Watanzania,
Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Crypto exchange inayoongoza duniani Binance imeziondoa baadhi ya cryptos kwenye platform yake kwaanzia leo tarehe 28 june 2024.
Will no longer be supported.
Crypto ambazo binance imeziondoa ni Altcoins (cryptos uchwara) Shiba Inu (SHIB), Chainlink (LINK), Meme...
Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe.
Wabunge hawa ni kina nani?
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ?
Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.